Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
previously in uganda, now in liberia.
awali katika nchi ya uganda na sasa katika liberia.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
previously farmers used more paper based
hapo awali wakulima walikuwa wanatumia zaidi paper based
Última atualização: 2021-11-11
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
earthquakes usually reoccur in areas that were previously hit before.
matetemeko ya ardhi huwa yana kawaida ya kujirudia katika maeneo ambako tayari yameshatokea.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
but how could the people believe what they had previously called lies?
lakini hawakuwa wenye kuyaamini waliyo yakanusha kabla yake.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
whenever we destroyed a town, a definite term had previously been decreed for it.
na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na muda wake maalumu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
have they not received the previously revealed heavenly books as the evidence of the truth.
je! haikuwafikilia dalili wazi ya yaliyomo katika vitabu vya kale?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
the role of the diaspora in the development of madagascar has been discussed previously in the malagasy blogosphere.
dhima ya wamadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa madagascar.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
do you [all] want to question your messenger just as moses was questioned previously?
au mnataka kumwomba mtume wenu kama alivyo ombwa musa zamani?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
previously he has also called united nations resolutions against an iranian nuclear program just useless torn papers.
hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa umoja wa mataifa dhidi ya mpango wa nyuklia wa irani kama makaratasi yasiyo na maana.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
their messengers came to them with the clear signs, but they would not believe in what they had rejected previously.
na hapana shaka mitume wao waliwafikia kwa hoja zilizo waziwazi. lakini hawakuwa wenye kuamini waliyo yakanusha zamani.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
as i have previously pointed out, this kind of thing has happened before in the u.s. armed forces.
kama nilivyoonyesha hapo kabla, jambo kama hili limewahi kutokea katika jeshi la ulinzi la marekani.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
as previously reported on global voices, the first national meeting to promote connectivity in bolivia took place in late january 2012.
kama ilivyokuwa imeripotiwa na (tovuti ya) global voices , mkutano wa kwanza wa kitaifa wa kukuza uunganishwaji wa intanenti nchini bolivia national meeting to promote connectivity in bolivia ulifanyika mwishoni mwa januari 2012.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
as robyn mentioned previously, the c-team met last night to discuss our approach and schedule for the coming days and months.
kama robyn alivyotaja awali, timu c ilikutana usiku uliopita ili kujadili njia na ratiba yetu ya siku na miezi ijayo.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
i have previously discussed the pros and cons of being away from home; i have no intention of repeating myself, and will write about something different today.
nimewahi hapo kabla kujadili faida na hasara za kuwa mbali na nyumbani; sina lengo la kujirudia, na kwa hiyo leo nitaandika kuhusu kitu tofauti.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and those to whom we [previously] gave the scripture know that it is sent down from your lord in truth, so never be among the doubters.
na hao tulio wapa kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na mola wako mlezi kwa haki. basi usiwe katika wanao tia shaka.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and adel salib wonders why people are shocked that the shia are being attacked in egypt when the police previously attacked - and killed - egyptian copts:
na adel salib anashangaa ni kwa nini watu wanapatwa na mshituko kufuatia kushambuliwa kwa waumini wa shia huko misri wakati kabla ya hapo polisi waliwashambulia na kuwaua wakristo wazawa wa misri:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
bah, who previously wrote about his admiration for some of the pope's political stance, denounces the credit granted by the papacy to five african leaders by officially receiving them at vatican city.
bah, ambaye aliwahi kuandika namna anavyokubaliana na baadhi ya misimamo ya kisiasa ya papa, anapinga sifa zilizotolewa na papa kwa viongozi watano wa afrika kwa kuwakaribisha jijini vatican.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
but when you are secure, then remember allah [in prayer], as he has taught you that which you did not [previously] know.
na mtakapo kuwa katika amani, basi mkumbukeni mwenyezi mungu kama alivyo kufunzeni yale mliyo kuwa hamyajui.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"i really think that she looks younger and more goodlooking, maybe it was because of her constant smile she gave during her visit here...some people on some boring tv talkshow mentioned previously that jakarta is a little overreacted with her visit.
"kwa kweli nafikiri anaonekana kijana na mrembo, pengine inatokana na tabasamu lake alilotoa wakati wa ziara yake hapa… watu wengine katika kipindi cha maongezi cha televisheni nilichokitaja kabla walisema kwamba watu wa jakarta walijawa jazba za bure kuhusu ziara yake.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
168 succeeding in numerical reasoning tests previously we were looking at ratios in static situations but here we have a dynamic situation where we need to calculate more than one value to get to the answer - in this case, we need to find out what the profits were in july before we can get to the figure for august. june july august 80,000 eur here we start with the known value (80,000 euro) to which we add the relevant per- centage change: 80,000 + (80,000 x 50%) = 80,000 + 40,000 = 120, 000. let's name all the elements in this equation: our starting value will be called basis, the percentage change called change and the resulting value the new value. using these, our formula is therefore like this: basis + basis x change = new value we can notice that basis is part of both elements on the left side, therefore, we can group these elements. by pulling out basis, we get the following formula: basis x (1 + change) = new value this formula can be our starting point for any calculation. as mentioned above, we will always be asked to calculate one of the three elements of this formula. scenario 1: calculating the new value (both increase and decrease) as shown above, the first half of the problem can be solved like this: 80,000 x (1 + 0. 5) = 80,000 x 1.5 = 120,000 continuing from here, we can use the formula again for the second half to calculate august, but this time applying a minus for the 50 because profits decreased: 120,000 x (1 - 0. 5) = 60, 000. scenario 2: calculating the change calculating the change in the case of an increase remember our formula: basis x (1 + change) = new value to calculate change we have to rearrange the formula: 1 + change = new value / basis let's return to our previous example, but assume we instead know the profits for june and july and have to calculate the percentage increase: june july august 80,000 eur 120,000 eur 1 + change = 120,000 / 80,000 change = (120,000 / 80, 000) - 1 change = 1.5 - 1 change = 0.5 = 50%
Última atualização: 2021-04-21
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: