Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
tanzania has banned wildlife exports after about 130 animals and birds, including giraffes, were smuggled out of the country.
tanzania imepiga marufuku kusafirishwa nje kwa wanyama pori baada ya takribani wanyama na ndege 130, ikiwa ni pamoja na twiga kusafirishwa nje ya nchi wakiwa hai.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
when the illegal raw ivory is successfully smuggled to mainland china via hong kong, it is wholesaled to carvers and manufacturers, turned into luxurious products and circulated in the domestic market through both licensed businesses and underground black market.
wakati bidhaa haramu za pembe za ndovu zikiingizwa china kupitia hong kong, zinanunuliwa kwa jumla na wazalishaji wa vito pamoja na wabunifu, na kugeuzwa kuwa bidhaa za thamani na kuingizwa kwenye mzunguko katika soko la ndani kupitia biashara zenye leseni na hata kwenye soko bubu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the daily mail claims that 10,000-year-old antiques, from the isis self-proclaimed capital raqqa, in syria, sell for more than $1 million each and are smuggled from syria and iraq through turkey and lebanon.
gazeri la the daily mail linadai sarafu hizo zimetengenezwa kwenye miaka isiyopungua 10,000, kutoka ragga, mji mkuu uliotangazwa na isis nchini syria, kila moja ikiuzwa kwa zaidi ya dola milioni na zimeibwa kutoka syria na iraq kupitia uturuki na lebanon.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: