Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
that, because they would disobey and commit transgressions.
hayo ni kwa walivyo asi na wakapindukia mipaka.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
whoever commits such transgressions, he has only harmed himself.
na atakaye fanya hivyo, amejidhulumu nafsi yake.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
thus did we test them because of the transgressions they used to commit.
kwa namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya upotovu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
god mocks them and gives them time to continue blindly in their transgressions.
mwenyezi mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
so we sent down on those who were wrongdoers a plague from the sky because of the transgressions they used to commit.
kwa hivyo tukaiteremsha juu ya wale walio dhulumu adhabu kutoka mbinguni kwa sababu ya walivyo kuwa wamepotoka.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
but as for those who deny our signs, the punishment shall befall them because of the transgressions they used to commit.
na walio kanusha ishara zetu itawagusa adhabu kwa walivyo kuwa wakipotoka.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
whomsoever allah sends astray, none can guide him; and he lets them wander blindly in their transgressions.
aliye mwacha mwenyezi mungu kupotea hana wa kumwongoa. atawaacha hao wakitangatanga katika upotofu wao.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
we are indeed going to bring down upon the people of this town a punishment from the sky because of the transgressions they used to commit.’
kwa yakini sisi tutawateremshia watu wa mji huu adhabu kutoka mbinguni kwa sababu ya uchafu wanao ufanya.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and because of their transgressions they were drowned, and admitted into a fire, for they found not, apart from god, any to help them.
basi kwa ajili ya makosa yao waligharikishwa wakaingizwa motoni, wala hawakuwapata wa kuwanusuru badala ya mwenyezi mungu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
forgive us our sins and our transgressions (in keeping our duties to you), establish our feet firmly, and give us victory over the disbelieving folk."
tughufirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu, na isimamishe imara miguu yetu na utunusuru tuwashinde kaumu ya makafiri.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
and adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression.
na wala si adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya mungu.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade: