Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
registrar of thýýe treasury
msajili wa hazina
Última atualização: 2023-02-11
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
high energy bills keep bulgarians protesting · global voices
bulgaria: gharama kubwa za nishati zasababisha maandamano
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and he looked up, and saw the rich men casting their gifts into the treasury.
yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
but unlike the cyber crime bill, none of these three bills have been shared with the public in their current versions.
lakini tofauti na muswada wa makosa ya mtandaoni, miswada hiyo mitatu haikuonekana hadharani katika matoleo yao ya hivi sasa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
he has come under public criticism for treating the national treasury as his automatic teller machine (atm).
hata hivyp, amekosolewa na wananchi kwa kuifanya hazina ya nchi hiyo kama mashine binafsi ya kutoa fedha (atm).
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
6- pick one: the man who loots ur treasury for his business or the man who uses ur voluntary donations for a business.
6- chagua kimoja: mtu anayefanya “dili” za kuiba hazina yako kwa ajili ya biashara yake au mtu anayetumia michango yenu ya hiari kwa ajili ya biashara.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
while debate over homosexuality rages in africa, liberia and uganda introduced anti-gay bills recently making homosexuality liable to a death sentence.
wakati mjadala kuhusu ushoga ukishika kasi barani afrika, liberia na uganda vimetunga muswada wa kupinga ushoga hivi karibuni ili kuufanya ushoga uhukumiwe kwa adhabu ya kifo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
these words spake jesus in the treasury, as he taught in the temple: and no man laid hands on him; for his hour was not yet come.
yesu alisema maneno hayo kwenye chumba cha hazina alipokuwa anafundisha hekaluni. wala hakuna mtu aliyemtia nguvuni, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and he called unto him his disciples, and saith unto them, verily i say unto you, that this poor widow hath cast more in, than all they which have cast into the treasury:
yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, "kweli nawaambieni, huyu mama mjane maskini ametoa zaidi kuliko wengine wote waliotia fedha katika sanduku la hazina.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
during the same parliament session three other bills were presented too: access to information (ati), media services, and a statistics bill.
wakati wa kikao hicho cha bunge, miswada mingine miwili iliwasilishwa kwa mjadala: muswada wa upatikanaji wa habari, muswada wa habari pamoja na muswada wa takwimu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
bill of quantities
bills of quantity
Última atualização: 2019-01-09
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: