Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
aamir khan, who is also a blogger reminds indian voters to make an informed choice when they cast their post.
aamir khan, ambaye pia ni mwanablogu anawakumbusha wapiga kura wa india kuwa wapige kura baada ya kufanya uchambuzi.
its anchor bollywood actor and filmmaker aamir khan is bringing out on the table taboo and sensational social issues which are engaging more and more indians.
mtanganzaji wake ambaye ni muigizaji na mtengeneza filamu wa bollywood, aamir khan anaweka wazi miiko na maswala mengine motomoto ya kijamii ambayo yanawavutia na kuwanasa wahindi wengi.
already in the morning the residents of city got to hear a blast pow, where explosives were planted in a frontier corp vehicle at bacha khan chowk.
mapema asubuhi ya leo, wakazi wa jiji wametoka kusikia sauti ya mlipuko wa mabomu ambayo yalitegwa kwenye gari la mgambo wanaolinda mpakani huko bacha khan chowk.
am hearing reports of a bomb going off in the medieval part of cairo near khan al-khalili, a major tourist destination.
nimesikia taarifa za mabomu yanayolipuka katika mji mkongwe wa kairo karibu na khan al-khalili, sehemu maarufu kwa watalii.
"the ads have been made by the actor’s production company, aamir khan productions, free of cost.
“matangazo yametengenezwa na kampuni ya muigizaji, aamir khan productions, bila malipo.
after an episode on malpractices by doctors the indian medial association claimed that he defamed the doctors and demanded apology but aamir defended his actions saying he won't apologize. it has also been alleged that aamir khan receives a high remuneration of rs.
baada ya onyesho kuhusu vitendo potofu vya madaktari, jumuiya ya madaktari wa india walilalamika kwamba walichafuliwa jina na kutaka waombwe msamaha lakini aamir alitetea hatua yakeakisisitixa kuwa hataomba msamaha.ilidaiwa kuwa aamir khan upokea malipo ya juu ya rs.