Você procurou por: unexpected (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

unexpected

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

this time,the crackdown started on the afternoon with unexpected force.

Suaíli

wakati huu mapigano yalianza mchana kwa nguvu isiyotarajiwa.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

and god will provide for him from an unexpected source; god suffices for anyone who puts his trust in him.

Suaíli

na humruzuku kwa jiha asiyo tazamia. na anaye mtegemea mwenyezi mungu yeye humtosha.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

this protocol describes how we have adapted a national influenza surveillance system to monitor community spread of an unexpected infection of covid-19.

Suaíli

utaratibu huu unafafanua jinsi ambavyo tumechukulia mfumo wa uchugnuzi wa homa ya mafua ili kufuatilia maenezi ya jumuiya ya maambukizi yasiyotarajiwa ya covid-19.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the unexpected release of two spanish aid workers from doctors without borders, kidnapped on october 13, 2011, was announced following 21 months of captivity.

Suaíli

tangazo la kuachiliwa huru kusikotarajiwa kwa wafanyakazi wawili wa hispania wa misaada waliokuwa wakifanya kazi katika shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka, na kutekwa nyara oktoba 13, 2011, lilitoka baada ya miezi 21 ya utumwa.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

can they who have devised evil plans expect to be safe from the command of god to the earth to swallow them up, or from a torment which might strike them from an unexpected direction?

Suaíli

je! wameaminisha wanao fanya vitimbi vya uovu kwamba mwenyezi mungu hatawadidimiza katika ardhi, na haitawafika adhabu kutoka wasipo pajua?

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

but this year an unexpected incident happened in naga hammady, in upper egypt, where an unknown criminal opened his fire randomly on people there after they finished their prayers and were on their way back to their homes.

Suaíli

lakini mwaka huu tukio lisilotarajiwa lilitokea huko naga hammady, misri ya juu, ambapo mhalifu asiyejulikana alianza kupiga risasi hovyo hovyo kwenye umati watu baada ya watu hao kumaliza maombi wakiwa wanaelekea majumbani kwao.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

but if gevorkyan is right that putin is waiting for another unexpected, well-attended setting for the dramatic reveal, we may have to wait until next year's winter olympics in sochi.

Suaíli

lakini kama gevorkyan yuko sahihi kwamba putin anasubiri mazingira mengine yasiyotarajiwa, yenye halaiki ya watu wengi ndipo atoboe siri, basi tunaweza kusubiri mpaka kwenye mashindano ya mwakani ya olimpiki mjini sochi.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

coles, in its march 8 media release, reported that with the four-pack restriction in place, "many stores are still selling out within an hour of delivery", and called the demand "unprecedented", while aldi, in a facebook post on tuesday, called it "unexpected".

Suaíli

coles, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari tarehe 8 machi, iliripoti kwamba hata baada ya kuweka vikomo vya kifurushi cha karatasi nne, "maduka mengine bado yalikuwa yanauza bidhaa zote za karatasi ndani ya saa moja ya kuwasilishwa", na kutaja hitaji hilo kuwa "lisilotarajiwa", huku aldi, kwenye chapisho la facebook siku ya jumanne ikilitaja kuwa "lisilotarajiwa".

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,794,094,479 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK