Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
who uphold their testimonies,
na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao,
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and uphold my name with posterity,
na unijaalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadaye.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
let them fear god and uphold justice.
basi nao wamche mwenyezi mungu, na waseme maneno yaliyo sawa.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
did they not make a covenant to uphold the scripture, and to not say about god except the truth?
je, hawakufanyiwa agano la kitabu kuwa wasiseme juu ya mwenyezi mungu ila haki tu?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and the angels will be on the sides thereof, and eight will uphold the throne of thy lord that day, above them.
na malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu; na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha mola wako mlezi.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
you have no basis until you uphold the torah, and the gospel, and what is revealed to you from your lord.”
hamna lenu jambo mpaka muishike taurati na injili na yote mlio teremshiwa kutokana na mola wenu mlezi.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tamakloe, etc. as morally reprehensible and ultimately negates any good intent to uphold the rule of law and to consolidate peace and security in ghana.
nyaho, tamakloe , nk kama yanayomomonyoa maadili na mwishowe kuharibu nia njema yoyote ya kusimika utawala wa sheria na kuimarisha amani na usalama nchini ghana.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
i was afraid that you might say: "you have divided the children of israel and did not uphold my word."
kwa hakika naliogopa usije sema: umewafarikisha wana wa israil, na hukungojea kauli yangu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
but if you uphold each other against him, then surely god is his protector, and gabriel and the righteous among the believers; and the angels too are his helpers.
na mkisaidiana dhidi yake (mtume), basi hakika mwenyezi mungu ndiye kipenzi chake, na jibrili, na waumini wema, na zaidi ya hayo malaika pia watasaidia.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
@egypresidency: pres. morsy urges civilians and military members to uphold the law & the constitution not to accept that coup which turns #egypt backwards
@egypresidency: rais mosry anawasihi wananchi na wanajeshi kuheshimu sheria na katiba na kutokukubali mapinduzi haya yanayoirudisha #misri nyuma
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
surely allah upholds the heavens and the earth lest they come to naught; and if they should come to naught, there is none who can uphold them after him; surely he is the forbearing, the forgiving.
hakika mwenyezi mungu ndiye anaye zuilia mbingu na ardhi zisiondoke. na zikiondoka hapana yeyote wa kuzizuia isipo kuwa yeye.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
allah bears witness that there is no god except he, and so do the angels and the knowledgeable. he upholds justice there is no god except he, the mighty, the wise.
mwenyezi mungu, na malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila yeye, ndiye mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila yeye mwenye nguvu na mwenye hikima.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade: