A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
can we have faith in water supply companies controlled by foreigners?
tunaweza kuwa na imani na makampuni yanayosambaza maji yanayomilikiwa na wageni?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lanzhou, an industrial city in northwestern china, depends largely on the yellow river for its water supply.
lanzhou, jiji la viwanda lililopo kaskazini magharibi mwa china, linategemea sana mto wa njano kama chanzo chake cha maji.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
who decided to sell the water supply company to the french? who did it? and who signed off on it?
ni nani aliyeamua kuwauzia wafaransa kampuni ya usambazaji wa maji, ni nani alifanya hivyo?, na ni nani aliyetia saini?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
an excessive amount of benzene, a highly carcinogenic chemical, has been detected in the city's water supply system, according to the local government.
kwa mujibu wa mamlaka ya jiji, kiasi kikubwa cha benzini, kemikali inayosababisha kansa, kimegunduliwa kwenye chanzo cha maji cha jiji hili.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
however, a lack of reliable water supply, soap or hand washing facilities in people's homes, at schools and at the workplace make it a challenge to achieve universal hand washing behaviors.
hata hivyo, ukosefu wa maji yanayotegemeka, vifaa vya kuosha mikono au sabuni katika nyumba za watu, shuleni na maeneo ya kazi ni changamoto katika kutimiza tabia ya ulimwengu ya kuosha mikono.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
water supplies will also be held in reserve for the dry season at two damns further downstream of the sanaga river, thereby enabling them to generate more electricity.
maji yatahifadhiwa kwa matumizi hasa wakati wa ukame katika mabwawa hayo yaliyopo kwenye mto wa sanaa, hivyo kusaidia kuzalisha umeme zaidi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
any developing country such as nigeria, wishing to develop its agricultural sector will focus direct government intervention to help farmers and boost food production on achieving steady supply of working capital, improve research and development, water supply, ensure low cost of fuel and labour, (corruption-free) subsidy on farming equipment and basic infrastructure.
nchi yoyote inayoendelea kama naijeria inayotaka kuendeleza sekta ya kilimo, italenga kuifanya serikali iingilie kati kusaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa chakula, kuboresha utafiti na maendeleo, maji, kuhakikisha gharama ya chini ya mafuta na kazi, ( bila rushwa) pia ruzuku kwa kilimo vifaa na miundombinu ya msingi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: