A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
gambia: il paese si ritira dal commonwealth britannico considerato "estensione del colonialismo"
gambia yajitoa jumuiya ya madola, yaiita jumuiya hiyo 'ukoloni mambo-leo'
l'uscita del gambia dal commonwealth da parte di yahya jammeh è pubblicità negativa che vale un anno di cronaca giornalistica.
kujitoa kwa gambia ya yahya jammeh kutoka jumuiya ya madola inatosha kuwa habari hasi kwa mwaka mzima wa taarifa za magazeti.
anche se non condivido le esecuzioni sommarie e la linea politica dispotica di baba jammeh, sostengo l'uscita del paese dal commonwealth.
ingawa siungi mkono vitendo vya mauaji na sera mbovu za baba jammeh, ninaunga mkono kujitoa kwake kutoka jumuiya ya madola.
in linea di principio non sono contro l'uscita del gambia dal commonwealth ma, come sempre, yaya si sta comportando ancora un volta irregolarmente.
kimsingi siko kinyume na kitendo cha gambia kujitoa kwenye jumuiya ya madola lakini kama kawaida yahya haonyeshi mwelekeo kwa mara nyingine.
ora il mondo intero parlerà di questa uscita e tutti gli stati membri del commonwealth, inclusi gli stati uniti, vedranno confermati i loro dubbi riguardo alle nostre rivendicazioni.
leo, kila nchi duniani itajua habari hizi za kujitoa na kila nchi mwanachama wa jumuiya ya madola, ikiwa ni pamoja na marekani, itathibitishiwa wasiwasi wowote kuhusiana na madai yetu.
nel 2003 lo zimbabwe, sotto mugabe, è uscito dal commonwealth per ragioni note solo a loro, tuttavia le nazioni più piccole dell'africa continentale dovrebbero avere un approccio differente.
mwaka 2003, zimbabwe chini ya mugabe ilijitoa kwneye jumuiya hiyo kwa sababu wanazozijua wao lakini nchi ndogo kuliko zote barani afrika ingechukua hatua kwa mwelekeo tofauti.
il blog guyanese propaganda press ha ripubblicato degli estratti del presidente jacob zuma indirizzati al popolo sudafricano, insieme ad una breve biografia di mandela, mentre il bajan reporter ha postato un tributo al defunto presidente del segretario generale del commonwealth, sir shridath ramphal.
chombo cha habari cha "propagandaguyana" kilichapisha sehemu ya hotuba ya rais jacob zuma kwa raia wa afrika kusini, pamoja na wasifu mfupi wa mandela, wakati bajan mwandishi wa bajan aliweka posti ya heshima kwa marehemu rais na katibu mkuu wa zamani wa jumuiya ya madola sir shridath ramphal.
mentre la discussione sull'ultimo caos diplomatico scatenato da jammeh continua, non è chiaro che vantaggio trarrà la nazione, sempre più povera, dall'uscita dal commonwealth.
wakati majadiliano juu ya mahusiano duni ya jammeh kidiplomasia yakiendelea, bado si bayana kile ambacho nchi hiyo masikini sana itakifaidi kwa kujitoa kwenye jumuiya ya madola.
il gambia, come è successo in passato, continua a trarre beneficio dal commonwealth in diversi settori, come l'educazione o lo sport, e recentemente lo stesso commonwealth ha proposto la formazione di una commissione nazionale per i diritti umani.
gambia imekuwa na inaendela kufaidika na jumuiya ya mdola katika maeneo mengi ikiwa ni pamoja na elimu/ufadhili, michezo na hivi karibuni jumuiya hiyo ilipendekeza kuundwa kwa tume ya taifa ya haki za binadamu.