Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
più di un paio tvb
amore mio
Última atualização: 2023-11-07
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chi, più di allah, rispetta i patti?
na nani atimizae ahadi kuliko mwenyezi mungu?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
erano più di quaranta quelli che fecero questa congiura
watu zaidi ya arobaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
di': “ne sapete forse più di allah?”.
sema: je, nyinyi mnajua zaidi au mwenyezi mungu?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
non gli permettete più di fare nulla per il padre e la madre
basi, halazimiki tena kuwasaidia wazazi wake.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
non abbiate dunque timore: voi valete più di molti passeri
kwa hiyo msiogope; ninyi mu wa thamani kuliko shomoro wengi.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
infatti, il commonwealth delle nazioni non è più di nessuna utilità.
kwa hakika, jumuiya ya madola imepoteza umuhimu wake.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
grazie a dio, io parlo con il dono delle lingue molto più di tutti voi
namshukuru mungu kwamba mimi nasema kwa lugha ngeni zaidi kuliko ninyi nyote.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
attualmente ha più di 61.400 followers su instagram e più di 7.600 su facebook.
hadi sasa, mradi huu una zaidi ya wafuatiliaji 61,400 katika instagram na zaidi ya wafuatiliaji 7,600 kwenye facebook.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
anche i capelli del vostro capo sono tutti contati. non temete, voi valete più di molti passeri
lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. msiogope, basi, ninyi mna thamani zaidi kuliko shomoro wengi!
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
il regime islamico iraniano ignora la giornata internazionale della donna da più di trent'anni.
utawala wa kiislamu wa iran umepuuza siku ya wanawake duniani kwa zaidi ya miongo mitatu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
l'uso di tor si sta diffondendo sempre più in turchia: più di 35.000 connessioni.
matumizi ya huduma ya tor yako juu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
erano più forti di loro e avevano coltivato e popolato la terra più di quanto essi non l'abbiano fatto.
nao walikuwa na nguvu zaidi kuliko wao, na wakaitimbua ardhi na wakaistawisha zaidi kuliko walivyo istawisha wao.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
e se sarete uccisi sul sentiero di allah, o perirete, il perdono e la misericordia di allah valgono di più di quello che accumulano.
na pindi mkiuliwa katika njia ya mwenyezi mungu, au mkifa, hakika maghfira na rehema zitokazo kwa mwenyezi mungu ni bora kuliko yote wanayo yakusanya.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
e disse ancora: “che? questo è l'essere che hai onorato più di me?
akasema: hebu nambie khabari ya huyu uliye mtukuza juu yangu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ho un portfolio di più di 2000 immagini scattate durante tre viaggi in afghanistan effettuati negli ultimi anni e per tenerne traccia ho concepito l'abbastanza scomodo hashtag .
nina jalada lenye picha zaidi ya 2,000 zilizopigwa katika safari zangu tatu nilizofanya nchini afghaniistan katika miaka ya hivi karibuni na ili kuweka kumbukumbu hizo, niliamua kutengeneza alama ishara ya .
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
dal 2000, l'insufficienza renale cronica ha ucciso più di 24.000 persone a el salvador e nicaragua, i paesi più colpiti dalla malattia.
tangu mwaka 2000, ugonjwa sugu wa figo imeua zaidi ya watu 24,000 katika el salvador na nikaragua, nchi mbili ambazo zimeathirika zaidi na janga hilo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
persino oggi, mentre l'ucraina è in fiamme, i tweet in lingua inglese su kiev sono poco più della metà rispetto ai più di duecentomila tweet sui giochi invernali.
hata leo, ukraine ikiwa inawaka moto, twiti za kiingereza kuhusu kiev zimezidi kidogo nusu ya zaidi ya twiti laki mbili kuhusu mashindano ya olimpiki.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
grazie all’aiuto di molte persone in giro per il mondo, il sito della campagna è stato già tradotto in più di 25 lingue, comprese le lingue orya, sena e lesga.
shukrani nyingi kwa msaada wa watu wengi duniani kote, na tovuti ya kampeni tayari imetafsiriwa kwenye lugha zipatazo 25, ikiwa ni pamoja na odia, sena, na ki-lezgia.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
nella parte orientale della repubblica democratica del congo, dove la guerra civile è costata la vita a più di 4 milioni di persone, bambini dall'età di 6 anni vengono regolarmente reclutati dalla milizia e addestrati ad uccidere.
huko kongo mashariki, ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vimesababisha vifo vya zaidi ya watu milioni nne, watoto wadogo, wengine hadi miaka sita tu, walipatiwa mafunzo ya kijeshi na kufundishwa kuua.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: