Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
fide moratus est in terra repromissionis tamquam in aliena in casulis habitando cum isaac et iacob coheredibus repromissionis eiusde
kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na mungu. aliishi huko katika hema kama walivyoishi isaka na yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
viri similiter cohabitantes secundum scientiam quasi infirmiori vaso muliebri inpertientes honorem tamquam et coheredibus gratiae vitae uti ne inpediantur orationes vestra
kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni mungu. hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade: