A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
hakuna mtu, nikijijumuisha na mimi, anayependa kutokuelewana.
nobody, myself included, enjoys misunderstandings.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
je, ni nani anayependa kuishi katika mvutano usiokoma na jirani yake?
who wants to live in continuous tension with his neighbour?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
blogu yaacordes 21 ilichapisha mpangilio wa sauti za wimbo huo kwa ajili ya kumsaidia yeyote anayependa kuuimba.
the blog acordes 21 posted the chords for anyone who would like to play the song.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa maadui zake alikuwa ni mtu msiri anayependa kutawala na asiyejali kabisa maisha ya wanaadamu wengine.”
to his adversaries he was a secretive megalomaniac with a complete disregard for human life."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
anapaswa kuwa mkarimu na anayependa mambo mema. anapaswa kuwa mtu mtaratibu, mwadilifu, mtakatifu na mwenye nidhamu.
but a lover of hospitality, a lover of good men, sober, just, holy, temperate;
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
alisema rais anayependa kujionyesha kuwa yeye ni kondoo mnyenyekevu, amejizungushia wasaidizi na maswahiba ambao wanaonyesha tabia za mbwa mwitu, fisi na simba.
he said the president, who likes to portray himself as a humble sheep, has surrounded himself with aides and confidantes who behave like foxes, hyenas and lions.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mwanafunzi kutoka amerika anayependa afrika, karen killenberg, alikusanya vichapisho vichache alivyovipenda kuhusu jinsi watu wanavyopenda afrika, na pia anamanukuu mwanablogu tatenda muranda katika twitter kuhusu sababu zake za kuandika:
american student and afrophile karen kilberg collected a few of her favorite posts about the meme, and also quotes african blogger tatenda muranda on twitter as to why she wrote the post:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kupanda kwa gharama za uendeshaji wa ndege nne binafsi kumemlazimu mchungaji huyo wa ki-naijeria anayependa kuvaa nguo za gharama kubwa, askofu david oyedepo, kuanzisha shirika la ndege la kibiashara ambalo litatumia ndege hizo nne ambazo mpaka sasa zinatimika kama sehemu ya usafiri wake binafsi.
the rising cost of maintaining four private jets has forced flamboyant nigerian pastor, bishop david oyedepo, to set up a commercial airline that uses four airplanes that had hitherto served as part of his private fleet.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: