Pergunte ao Google

Você procurou por: inajulikana (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

inajulikana

Inglês

It is known

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Inajulikana kama "door waar," na ina umuhimu wa kimsingi katika maisha ya vijana Wasenegal.

Inglês

He was glad because he made some good profits With this new work, I had a better understanding of the informal sector here, commonly known as "door waar " which plays a fundamental role in the lives of Senegalese youth .

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

Inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa kwa senti kumi, au sivyo? Lakini mbele ya Mungu hasahauliki hata mmoja.

Inglês

Are not five sparrows sold for two farthings, and not one of them is forgotten before God?

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Mnamo mwaka 2002, Nelson Mandela mwenyewe alitumia siku hii kuzindua kampeni yake ya ulimwengu mzima kuhamasisha welewa na kupiga vita tatizo la VVU/UKIMWI, kameni hiyo inajulikana kama 46664.

Inglês

In 2002, however, Nelson Mandela himself used this day to launch his global HIV/AIDS awareness and prevention campaign, 46664.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Wikiendi hii iliyopita, Wamoroko walisherehekea Eid Al-Adha, au Sherehe ya kutoa kafara, ambayo mara nyingine inajulikana nchini Moroko kama Eid Al-Kabir, au “sherehe kubwa,“ tofauti na Eid al-Fitr, inayojulikana kwa lugha ya mtaani kama Eid al-Sghir, au “Sherehe ndogo.”

Inglês

This past weekend, Moroccans celebrated Eid Al-Adha, or the Festival of the Sacrifice, often referred to in Morocco as Eid Al-Kabir, or "the big festival," as opposed to Eid al-Fitr, known colloquially as Eid al-Sghir, or "the little festival."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

Inajulikana vyema kuwa Naijeria ina tatizo la muonekano – utapeli wa 419 kwenye intaneti, rushwa, uharamia wa mafuta katika jimbo la Delta – kwa watu wengi, huu ndio uhusiano unaokuja akilini wakati nchi yenye watu wengi zaidi Afrika inapotajwa.

Inglês

It's well known that Nigeria has an image problem – 419 Internet scams, corruption, oil piracy in the Delta region – for many people, these are the associations that come to mind when Africa's most populous country is mentioned.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Faida hizi, hata hivyo, hutumika tu kwa bidhaa na huduma zinazotumika kwa ajili ya shughuli za kidini, wakati Kanisa la Serbia la Orthodox inajulikana kuwa na aina mbalimbali za magari ya gharama kubwa katika umiliki wa Kanisa, zinazotumiwa na viongozi wake na wafanyakazi.

Inglês

These benefits, however, only apply to products and services that serve for religious activities, while the Serbian Orthodox Church is known to have a variety of the most expensive vehicles in the ownership of the Church, used by its officials and employees.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Inajulikana wazi bila hata kutamka kwamba watu wengi wanapendelea kupata habari kutoka vyanzo vingine zaidi ya televisheni au magazeti makuu.Huko Marekani ya Latini, Ulaya, Asia - na kote duniani, kwa kweli- mambo yamekuwa hivi tangu mwanzo wa Milenia: habari bora zaidi, maoni yaliyo na msingi bora na ufafanuzi husika vinapatikana kwenye blogu na kwenye mitandao ya kijamii, na pia katika magazeti ya vyuo vikuu na mitandao ya wanaharakati.

Inglês

It goes without saying that most people want to get their information from more sources than just the TV news or major newspapers. In Latin America, Europe, Asia – all over the world, in fact – this has been the case since the Millennium: the best news, opinions grounded in fact and the most pertinent commentary are to be found on blogs and social networks, and in newspapers published by universities and activist networks.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
4,401,923,520 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK