Pergunte ao Google

Você procurou por: kurushwa (Suaíli - Inglês)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

Ni kazi yao kuangalia lipi ni jema kurushwa hewani kama inavyoelezwa katika Taratibu za Televisheni na Sauti.

Inglês

It is their job to police what is good for public broadcast as prescribed by Television and Sound Broadcasting Regulations.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Wakati huohuo ueneaji jangwa nao huchangia katika mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuruhusu kaboni iliyohifadhiwa kwenye mimea ya maeneo yenye ukame na udongo kurushwa kwenye anga.

Inglês

At the same time desertification contributes to climate change by releasing to the atmosphere carbon stored in dryland vegetation and soils.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

@telefone: Mabomu yanatupwa kwa wapiga picha na kurushwa katika kituo cha gesi kilichopo katika njia panda ya mitaa ya Consolação na Maria Antonia.

Inglês

@telefone:Bombs being thrown at photographers and at the gas station located at the cross streets of Consolação and Maria Antonia.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la Bangkok, Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa lilitoa wito kwa serikali na viongozi wa maandamano kuwalinda watoto na kuwaweka mbali na maandamano.

Inglês

After a grenade explosion killed three children in an anti-government protest site in Bangkok, the United Nations Children’s Fund urged government and protest leaders to protect children by keeping them away from protests.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

Katikati ya vilio vya unafiki kutoka kwa wasanii wengi wa Kijamaika ambao wanahisi kwamba mtindo wa Dancehall pekee ndio unasakamwa, Bloga wa Kijamaika, MadBull aliyeko huko Cayman, anaandika kwamba anaunga mkono amri hiyo na anafikiri kuwa amri hiyo ienezwe na kuzuia mtindo wowote wa muziki unaotarajiwa kurushwa hewani.

Inglês

Amidst cries of hypocrisy by several Jamaican artistes who feel that dancehall is being unfairly singled out, MadBull, a Jamaican blogger in Cayman, writes that he fully supports the ban and thinks it should be extended to any genre of music being considered for public airplay.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
4,401,923,520 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK