Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mwili wa jiménez de la cruz ulikutwa katika makaburi la siri tarehe 11, februari, 2014, hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka el universal na la jornada.
the lifeless body of jiménez de la cruz was found in a clandestine grave on february 11, 2014, according to reports in el universal and la jornada.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ingawa, kama ilivyotajwa awali, makadinali wa kanisa katoliki wamekuwa wakinufaika na takwa hilo la kikatiba, taasisi nyingine za kidini zinazotambuliwa na serikali ya brazil hazijatengwa katika kuomba pasipoti za kidiplomasia na hata wakuu wengine wa madhehebu ya kiprotestanti, kama mchungaji ambaye ni vigumu kueleweka kirahisi edir macêdo, kiongozi wa kanisa la ulimwengu (igreja universal) walipokea pasipoti za kidiplomasia siku za nyuma.
although, as mentioned above, catholic church cardinals have benefited from this concession, other religious institutions recognized by the brazilian state are not excluded from the application for diplomatic passports and indeed other evangelical representatives, such as controversial pastor edir macêdo, leader of brazil's igreja universal (universal church) have received diplomatic passports in the past.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: