Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mvua siku zote tayari
es regnet den ganzen tag schon
Última atualização: 2016-01-13
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
maskini mtakuwa nao siku zote, lakini hamtakuwa nami siku zote."
denn arme habt ihr allezeit bei euch; mich aber habt ihr nicht allezeit.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
lakini ingekuwa kashfa ya kweli kama siku moja tutasahau na kubusiana kwenye mitaani!
aber richtig, es wäre ein skandal, wenn wir uns eines tages vergessen und uns gegenseitig küssen würden auf der straße!
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
niliweza kupata chupa mbili za maji ambazo ndizo zilizonifanya nikawa hai kwa siku zote hizi.
das war alles, was ich die ganze zeit über hatte.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"enyi wakaidi wakuu! mioyo na masikio yenu ni kama ya watu wa mataifa. ninyi ni kama baba zenu. siku zote mnampinga roho mtakatifu.
ihr halsstarrigen und unbeschnittenen an herzen und ohren, ihr widerstrebt allezeit dem heiligen geist, wie eure väter also auch ihr.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
sasa ninapofikiri tukio hilo, leo -kesho, na siku zote -kila mmoja afanye hivyo hivyo.
wenn ich so darüber nachdenke, finde ich, dass jeder das tun sollte - heute, morgen, immer.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kama siku hizo hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo zitapunguzwa kwa ajili ya wale walioteuliwa.
und wo diese tage nicht verkürzt würden, so würde kein mensch selig; aber um der auserwählten willen werden die tage verkürzt.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
wafundisheni kushika maagizo yote niliyowapeni. nami nipo pamoja nanyi siku zote; naam, mpaka mwisho wa nyakati."
und lehret sie halten alles, was ich euch befohlen habe. und siehe, ich bin bei euch alle tage bis an der welt ende.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
hata walijaribu kutuzuia kuwahubiria watu wa mataifa mengine ujumbe utakaowaletea wokovu. ndivyo walivyokamilisha orodha ya dhambi zote walizotenda siku zote. lakini sasa hasira ya mungu imewaangukia.
wehren uns, zu predigen den heiden, damit sie selig würden, auf daß sie ihre sünden erfüllen allewege; denn der zorn ist schon über sie gekommen zum ende hin.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.
einer hält einen tag vor dem andern; der andere aber hält alle tage gleich. ein jeglicher sei in seiner meinung gewiß.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hapo bwana akamjibu, "enyi wanafiki! nani kati yenu hangemfungua ng'ombe au punda wake kutoka zizini ampeleke kunywa maji, hata kama siku hiyo ni ya sabato?
da antwortete ihm der herr und sprach: du heuchler! löst nicht ein jeglicher unter euch seinen ochsen oder esel von der krippe am sabbat und führt ihn zur tränke?
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível