Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
lakini anayempenda mungu huyo anajulikana naye.
aga kes armastab jumalat, selle on jumal ära tundnud.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
simoni petro pamoja na mwanafunzi mwingine walimfuata yesu. huyo mwanafunzi mwingine alikuwa anajulikana kwa kuhani mkuu, hivyo aliingia pamoja na yesu ndani ya ukumbi wa kuhani mkuu.
aga siimon peetrus järgis jeesust ja üks teine jünger. see jünger oli tuttav ülempreestrile ja läks jeesusega ühes ülempreestri õue.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. basi, huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa kuhani mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngoja mlango, akamwingiza petro ndani.
ja peetrus seisis väljas ukse ees. siis läks teine jünger, kes oli tuttav ülempreestrile, välja ja rääkis uksehoidjaga ning viis peetruse sisse.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade: