Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mapendo yangu yawe kwenu katika kuungana na kristo yesu.
minu armastus on teie k
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
udugu katika uchaji wenu, na mapendo katika udugu wenu.
jumalakartuses vennaarmastust ja vennaarmastuses armastust kõikide vastu.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini mungu ni mwenye huruma nyingi. alitupenda kwa mapendo yasiyopimika,
aga jumal, kes rikas on halastusest, oma suure armastuse pärast, millega ta meid on armastanud,
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. basi, kwa mapendo sheria yote hutimizwa.
armastus ei tee ligimesele kurja; siis on armastus käsu täitmine.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mapendo yenu na yawe bila unafiki wowote. chukieni jambo lolote ovu, zingatieni jema.
armastus ärgu olgu silmakirjalik. hoiduge kurjast eemale, kiinduge heasse!
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
nawatakia neema ya mungu wote wanaompenda bwana wetu yesu kristo kwa mapendo yasiyo na mwisho.
arm nende kõikidega, kes armastavad meie issandat jeesust kristust kadumatuses.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
muwe daima wanyenyekevu, wapole na wenye saburi; vumilianeni ninyi kwa ninyi kwa mapendo.
kõige alanduse ja tasadusega, pika meelega, sallides üksteist armastuses,
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa sababu hiyo, tangu niliposikia juu ya imani yenu kwa bwana yesu na mapendo yenu kwa watu wa mungu,
sellepärast ka mina, kui ma sain kuulda teie usust issandasse jeesusesse ja armastusest, mis teil on kõigi pühade vastu,
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na imani ya kweli.
sest käskimise eesmärk on armastus puhtast südamest ja heast südametunnistusest ja silmakirjatsematust usust.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ila, sisi tukisema ukweli kwa moyo wa mapendo tutakua zidi katika kila jambo kulingana na kristo ambaye ndiye kichwa;
vaid et me tõtt taotledes armastuses kasvaksime kõiges selle sisse, kes on pea, kristus,
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini matokeo ya kuongozwa na roho ni mapendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu,
aga vaimu vili on armastus, rõõm, rahu, pikk meel, lahkus, heatahtlikkus, ustavus,
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
maana ikiwa tumeungana na kristo yesu, kutahiriwa au kutotahiriwa hakuna maana; cha maana ni imani ifanyayo kazi kwa mapendo.
sest kristuses jeesuses ei kehti ümberlõikamine ega ümberlõikamatus, vaid usk, mis on tegev armastuse kaudu.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
maana mapendo ya kristo yanatumiliki sisi ambao tunatambua ya kwamba mtu mmoja tu amekufa kwa ajili ya wote, na hiyo ina maana kwamba wote wanashiriki kifo chake.
sest kristuse armastus sunnib meid ning me otsustame n
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa sanamu: tunajua kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga.
mis puutub ebajumala ohvrilihasse, siis teame: meil k
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini wewe, mtu wa mungu, jiepushe na mambo hayo. zingatia uadilifu, uchaji wa mungu, imani, mapendo, subira na unyenyekevu.
aga sina, jumala inimene, põgene selle eest! taotle õigust, jumalakartust, usku, armastust, kannatlikkust, tasadust!
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kama ukimhuzunisha ndugu yako kwa sababu ya chakula unachokula, basi mwenendo wako hauongozwi na mapendo. usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu ya kupotea kwa mtu mwingine ambaye kristo alikufa kwa ajili yake!
aga kui sinu vend saab nukraks roa pärast, siis ei käi sina enam armastuse järgi. Ära saada hukka oma roaga seda, kelle eest kristus on surnud.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa sasa, ndugu, kwaherini! muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. naye mungu wa mapendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
l
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade: