Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
jitihada hizo zilikwama.
the effort failed.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
baadhi waliunga mkono jitihada hizo:
ronnie kasrils is at pains to reinvent himself.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini takwimu zinaweza kuwa za juu kwa sababu maiti bado zinaendelea kuondolewa katika eneo hilo.
but the figures could be higher because dead bodies are still being retrieved in the region.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
timu za misaada bado zinaendelea kutathmini uharibifu uliosababishwa na vimbunga viwili, na takwimu zinategemewa kuongezeka wakati ripoti ya uharibifu uliotokea ikikusanywa.
relief teams are still assessing the damage caused by the two storms, and figures are expected to rise as more information on the full extent of the damage is gathered.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu rumbidzai dube, aliyesaidia kuandaa video hiyo, anaongeza taarifa zaidi kuhusu jitihada hizo mbili za watu wawili:
lawyer and human rights advocate rumbidzai dube, who helped produce the video, adds more detail about the two struggles:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
...licha ya mabadiliko yanayoonekana katika jinsi serikali inavyotumikia vyombo vya habari, mawazo ya msingi ni kiasi sawa kama siku za nyuma: waandishi wamepewa "nafasi" zaidi za kufanyia kazi, lakini mipaka ya nafasi hizo bado inaamuliwa na serikali .
...despite the ostensible changes in the way the government treats the media, the underlying mindset is much the same as in the past: journalists have been given greater “space” within which to work, but the limits of that space are still decided by the state.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível