Você procurou por: aishiye (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

aishiye

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

kuna msemo kuwa hakuna mtu aishiye kisiwani.

Inglês

they say that no man is an island.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwanablogu wa misri aishiye marekani, egyptian wish, aliandika kwenye posti yake mpya hapa akisema:

Inglês

an egyptian blogger living in usa, egyptian wish, wrote a new post here saying: dear egyptians,

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

bridget johnson aishiye washington dc alipendekeza al-kaseasbeh akumbukwe kama rubani wa kutukuzwa wa jordan:

Inglês

sharing a photo of al-kaseasbeh while in istanbul, bbc journalist faisal irshaid said that "this is how we remember him" instead:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

dawn hurley, mfanyakazi wa kimataifa aishiye goma anaandika katika blogu yake from congo kuhusu ukosefu wa uhakika na hofu usiku unapoingia:

Inglês

dawn hurley, an american expat living in goma, writes in her blog from congo about the uncertainty and fear when night falls:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

chelliah, m-malaysia aishiye nchini uingereza, aliandika kuhusu furaha yao katika uwezekano wa mabadiliko katika serikali:

Inglês

chelliah, a malaysian living in the uk, wrote about their excitement at the possibility of a change in government:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

basi, kila aishiye katika muungano na kristo hatendi dhambi; lakini kila mtu atendaye dhambi hakupata kamwe kumwona, wala kumjua kristo.

Inglês

whosoever abideth in him sinneth not: whosoever sinneth hath not seen him, neither known him.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

a mi ver, aishiye florida, alikamata namna ya majivuno na mafanikio wakati aliporejea mazungumzo na baba yake, ambaye alimpigia simu kutokea trinidad kumfahamisha yaliyojiri:

Inglês

a mi ver, who lives in florida, captured the region's sense of pride and accomplishment as she recounts a conversation with her father, who called from trinidad to bring her up to speed:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

wanaacha kumwabudu mungu aishiye milele, na badala yake, wanaabudu sanamu zilizo mfano wa binadamu ambaye hufa, mfano wa wanyama, ndege, au wanyama watambaao.

Inglês

and changed the glory of the uncorruptible god into an image made like to corruptible man, and to birds, and fourfooted beasts, and creeping things.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwanablogu wa nnepali aishiye ughaibuni indra anampongeza waziri mkuu mpya na anafikiri kwamba "zawadi aliyonayo bw. koirala kwa kuwawezesha wengine kwa unyenyekevu na ukweli haitaondoka wa haraka".

Inglês

nepali diaspora blogger indra congratulates the new prime minister and thinks that "the gift mr. koirala has for empowering others with his humility and sincerity will go a long way".

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

basi, sisi tunajua na tunaamini upendo alio nao mungu kwetu sisi. mungu ni upendo, na kila mtu aishiye katika upendo, anaishi katika muungano na mungu, na mungu anaishi katika muungano naye.

Inglês

and we have known and believed the love that god hath to us. god is love; and he that dwelleth in love dwelleth in god, and god in him.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kadhalika, katika blogu didish report ya bloga wa ki-irani aishiye nchini kanada arashi kamangir ambayo hutafiti tovuti zenye viungo kuelekea tovuti nyingine, inaonyesha kiudhabiti kuwa tupo juu kwenye orodha ya tovuti inayopata viungo kuwaelekea.

Inglês

in addition, canada-based iranian blogger, arash kamangir's didish report, which searches iranian site feeds for links to other sites, consistently shows that we are at the top of the list for receiving links.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mwanablogu wa jamaika aishiye ughaibuni geoffrey philp anataarifu kuwa robert antoni, mwandishi wa kitabu cha "as flies to whatless boys", ameshinda tuzo ya one caribbean media bocas 2014 kwa fasihi ya nchi za 'caribbean' wakati blogu ya 'repeating islands' ikichapisha pitio la kitabu riwaya yake hapa.

Inglês

jamaican diaspora litblogger geoffrey philp reports that robert antoni, author of "as flies to whatless boys", has won the 2014 one caribbean media bocas prize for caribbean literature, while repeating islands republishes a review of his novel, here.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,782,421,858 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK