Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
aliwataka watu wanaomuunga mkono waandamane kuelekea ikulu iliyopo ambohitsorohitra.
he asked his supporters to march to the presidential palace in ambohitsorohitra.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wakati huohuo, raisi wa pakistani asif ali zardari aliwataka maofisa wamuwekee bayana hali halisi.
meanwhile, pakistani president asif ali zardari called on officials to explain the situation to him.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mousavi aliwataka watu waimbe allah-o-akbar kutokea kwenye mapaa ya nyumba zao.
mousavi asked people to chant allah-o-akbar from the rooftops of their homes.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mashambulizi ya hivi karibuni huko kwa-zulu natal na durban yanahusishwa na kauli iliyotolewa na mfalme wa zulu goodwill zwelithini. inasemekana kuwa aliwataka wahamiaji warudi makwao.
recent violence in kwa-zulu natal and durban is being attributed to comments made by the zulu king goodwill zwelithini, who allegedly told foreigners to go home.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: