Você procurou por: anatuma (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

anatuma

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

salman ahmed anatuma twiti:

Inglês

salman ahmed tweets:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

mohja khaf anatuma ujumbe wa twita:

Inglês

mohja khaf tweets:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

anatuma twiti kuhusu aliyoyaona gerezani baada ya kuachiwa kwake

Inglês

he has tweeted his prison experience following his release.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

katika hali ya mzaha, indosingleparent community anatuma picha ya keki za talaka.

Inglês

on a lighter note, indosingleparent community posts pictures of divorce cakes.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

@tsepeaces anatuma tena ujumbe wa twita wa mtu aliyeshuhudia tukio na kusema:

Inglês

@tsepeaces retweets an eye witness as saying:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

inashangaza kuona guy scott anatuma maombi ya urafiki kwa kila mtu kwenye mtandao wa facebook.

Inglês

the all (whole lot) of guy scott to be sending friendship requests to every jim and jack on facebook.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

israel imeanza operesheni ya ardhini gaza. ifalasteen anatuma picha hii kutoka gaza kwenye mtandao wa twita

Inglês

israel begins ground operations on gaza. ifalasteen shares this photograph from gaza on twitter

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

shreya misra, anayefanya kazi katika shirika la teach for india, anatuma picha kwenye ukurasa wa facebook wa helpage india, inayomwonyesha akimkumbatia babu yake.

Inglês

shreya misra, a fellow at teach for india, shared a photo on helpage india's facebook page, which shows her hugging her grandfather.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ubunifu huu unahusisha kuweka maandiko yanayokwaruzika katika dawa, maandiko haya yana nambari ya utambuzi, ambayo mtu anatuma kwa kupitia huduma ya ujumbe mfupi ili kuhakikisha kuwa dawa hiyo ni halali.

Inglês

in simplified terms, the idea is to place a scratch-off label on the products; the label contains a unique code, which the consumer sends via sms and then receives a reply as to whether the product is authentic or not.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwa upande mwingine, changing perspectives, ambaye anaandika makala kutoka nchi jira ya dominika, anatuma ripoti kutokea katika misheni moja iliyo eneo la karibu na jeremie huko haiti:

Inglês

changing perspectives, while located in neighbouring dr, posts a report from a missionary located near jeremie in haiti:

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

rais wa marekani barack obama ametangaza kwamba anatuma vikosi 3,000 kwenda afrika magharibi, kwa lengo la kukabiliana na hali hiyo inayozidi kuwa mbaya, kufuatia kuenea kwa kasi kubwa kwa virusi vya ugonjwa huo.

Inglês

us president barack obama has announced that he is sending 3,000 american troops to west africa, in view of the worsening crisis, with the virus spreading exponentially.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hata mwezi umekuwa mwekundu hapa gaza usiku wa leo mpiga picha jehad saftawi anatuma picha kutoka kwenye mpaka wa gaza, ikionyesha kuanza kwa operesheni hiyo: shambulio la ardhini linalofanywa na israeli limeanza kwenye ukanda wa gaza, hapa kwenye mpaka wa gaza

Inglês

even the moon is red in gaza tonight... #gazaunderattack pic.twitter.com/etgqgkyytx — فلسطين i (@ifalasteen) july 17, 2014

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

na mohamed osman, ambaye pia anatuma habari kwa njia ya twita kutoka saudi arabia,, anawasihi wasomaji wake: نرجوا من الأخوة العرب الأعزاء عدم النياحة والردح في موضوع السودان، 26 سنة من الحرب وأنتم صامتون فأكملوا صمتكم #sudan wapendwa ndugu zangu wa kiarabu, tafadhali acheni kulia na kutengeneza mizengwe kwa yanayotokea sudani.

Inglês

and mohamed osman, also tweeting from saudi arabia, appeals to his readers: dear arab brothers, please stop crying and making an issue over sudan.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,774,157,675 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK