Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
je! huwaoni wale wanao bishana katika ishara za mwenyezi mungu?
did you not see those who dispute concerning allah's signs?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
huwaoni wale wanao bishana katika ishara za mwenyezi mungu? wanageuziwa wapi?
do you not consider those who dispute concerning the signs of allah - how are they averted?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ama kwa hakika hao wanao bishana katika khabari za hiyo saa wamo katika upotofu wa mbali kabisa.
absolutely, those who question the hour are in distant error.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
na katika watu wapo wanao bishana juu ya mwenyezi mungu bila ya ilimu, wala uwongofu, wala kitabu chenye nuru.
among the people are those who dispute concerning allah without any knowledge or guidance, or an enlightening book,
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya mwenyezi mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi.
among mankind is he who disputeth concerning allah without knowledge, and followeth each froward devil;
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hakika hao wanao bishana katika ishara za mwenyezi mungu bila ya uthibitisho wowote uliyo wajia, hawana vifuani mwao ila kutaka ukubwa tu, na wala huo hawaufikilii.
(as for) those who dispute the verses of allah without authority having been given to them, there is nothing in their chests but pride; that, they shall never attain.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hakika hao wanao bishana katika ishara za mwenyezi mungu bila ya uthibitisho wowote uliyo wajia, hawana vifuani mwao ila kutaka ukubwa tu, na wala huo hawaufikilii. basi jikinge kwa mwenyezi mungu.
surely (as for) those who dispute about the communications of allah without any authority that has come to them, there is naught in their breasts but (a desire) to become great which they shall never attain to; therefore seek refuge in allah, surely he is the hearing, the seeing.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwani hamwoni ya kwamba mwenyezi mungu amevifanya vikutumikieni viliomo mbinguni na kwenye ardhi, na akakujalizieni neema zake, za dhaahiri na za siri? na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya mwenyezi mungu pasipo ilimu, wala uwongofu, wala kitabu chenye nuru.
see you not (o men) that allah has subjected for you whatsoever is in the heavens and whatsoever is in the earth, and has completed and perfected his graces upon you, (both) apparent (i.e. islamic monotheism, and the lawful pleasures of this world, including health, good looks, etc.) and hidden [i.e. one's faith in allah (of islamic monotheism) knowledge, wisdom, guidance for doing righteous deeds, and also the pleasures and delights of the hereafter in paradise, etc.]? yet of mankind is he who disputes about allah without knowledge or guidance or a book giving light!
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade: