Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
msitarajie miujiza baada ya uchaguzi, watunisia wana tabia ya kutaka kila kitu kwa haraka bila kungoja, jambo ambalo haliwezekani
do not expect a miracle after the elections, tunisians tend to want to have everything immediately, which is impossible
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
anategemewa kuwaambia waafrika kusini kusahau tukio hilo na kwamba tuendelea mbele, hata hivyo wengi wanasema hilo haliwezekani kwani makaburu wako chini ya mashambulizi.
he will most likely tell south africans to forget about the event and that we should move on, however many claim this is not possible and that the boers are under attack.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tungetamani sana ungeweza kujumuika nasi pale, lakini kama hilo haliwezekani, waweza pia ukatutazama moja kwa moja kupitia mtandao wa intaneti na pia tukaweza kujadiliana papo kwa hapo.
we wish you could be with us there in person, but if you can't you can still watch the livestream and chat with the us live.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: