Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mrie: jamii inawachukia hao watu wa alawite ambao wako na moaz al khatib.
mrie: the community hates the alawites who are with moaz al khatib.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wanaamini marekani inawachukia waislamu, na kwamba kitendo chake cha kuikumbatia israel ni ushahidi, ukijumlisha na uvamizi wake kwa nchi za afghanistan na iraq.
they believe that america hates muslims, that its support of israel is evidence of this, further proven by the invasions of afghanistan and iraq.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hata hivyo, wanafikiri kwamba marekani inawachukia waislam, kiasi kwamba kitendo chake cha kuikumbatia israel ni ushahidi wa hili, kwa uthibitisho wa kuzivamia nchi za afghanistan na iraq.
they do, however, think that america hates muslims, that its support of israel is evidence of this, further proven by the invasions of afghanistan and iraq.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kama ni mchoro wa maduara mawili yanayoingiliana mahali fulani kuonesha jinsi waislamu wema na wabaya wanavyofanana, mwingiliano ungekuwa kwenye imani kwamba marekani inawachukia waislamu, kwa ushahidi wa kuiunga mkono israel , na hata kitendo chake cha kuivamia afghanistan na iraq.
in a venn diagram of the beliefs shared between good and bad muslims, the only overlap would be that they too think that america hates muslims, that its support of israel is evidence of this, further proven by the invasions of afghanistan and iraq.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
maoni yao huanzia kwenye imani za kuzusha mambo –mfano kuamini kwamba madhehebu mengine nje yao yanapanga kuwaangusha –hadi kwenye imani kwamba marekani inawachukia waislamu, na kwamba kitendo cha nchi hiyo kuikumbatia israel ni ushahidi wa hili, na zaidi uvamizi wa afghanistan na iraq.
their opinions range from far-fetched conspiracies—in which islamic sects other than the one they belong to are plotting their downfall—to the belief that america hates muslims, that its support of israel is evidence of this, further proven by the invasions of afghanistan and iraq.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: