Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
naamini kwamba vitendo vyangu hivi havikuwa na manufaa yoyote kwa ofisi inayosimamia utamaduni, na mbaya zaidi, nimesababisha kuvunjika moyo na kukosa raha kwa wafanyakazi wa kitengo hicho.
i believe that my actions have had no benefit to the cultural monitoring office, and worse, have caused discouragement and unease to the staff members who work therein.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
saree, ambaye ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya taasisi ya utetezi wa walaji katika mawasiliano ya simu, aliongeza kwamba sheria inayosimamia mawasiliano ya simu nchini thailand, kampuni zinazotoa huduma ya simu za mkononi haziruhusiwa kuweka hadharani orodha ya wateja wao pasipo kwanza kupata ridhaa yao.
saree, who is also part of the committee of the telecommunication consumer protection institute, added that under thai telecommunication law, mobile phone operators are not allowed to release the list of subscribers without their consent.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: