Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
akmal shaikh, raia wa uingereza aliyeshtakiwa kwa kuingiza mihadarati kinyume cha sheria nchini china, aliuwawa siku ya jumanne japokuwa familia yake pamoja na serikali ya uingereza waliomba adhabu ipunguzwe, wakidai kuwa alikuwa ni mgonjwa wa akili.
akmal shaikh, a british citizen convicted of smuggling heroine into china, was executed on tuesday although his families along with the british government had pleaded for reprieve, claiming that he is mentally ill.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
haipo wazi kwangu iwapo hatua hii ya serikali inapata imetokana na fikra yake kuwa chanzo cha umasikini ni idadi kubwa sana ya watu nchini ufilipino na hivyo ni lazima kasi ya kuzaliana ipunguzwe (n.b.: siku zote huwa naamini kuwa msingi mkuu wa umasikini ni ubadhilifu na rushwa pia uharibifu wa mazingira usiodhibitiwa.)
it is not clear to me whether the government’s move sprung from its idea that overpopulation is one of the root causes of grinding poverty in the philippines and hence, it must be put into a lower gear. (n.b.: i always assume perhaps with precision that the main roots of poverty in the country are graft and corruption and the unabated abuse and destruction of the environment and natural resources.)
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: