Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
misri: wafanyakazi wa islamonline wagoma
egypt: islamonline employees strike · global voices
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hivi jambo hili limesababishwa nini hapo islamonline?
wtf is wrong at #islamonline ?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
nadia el awady, aliyekuwa mwandishi wa habari wa iol, alikuwa akifuatilia kwa karibu hali ya mambo na alituma kwenye blogu yake tamko lililotolewa na wafanyakazi wa islamonline:
nadia el awady, an ex-journalist for iol, was closely following the situation and posted a statement issued by islamonline striking employees on her blog:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa upande wake tadamon masr alieleza kwamba mgogoro huo huenda umetokana na lengo la uongozi mpya wa qatari kutaka kuhamisha makao makuu ya iol kutoka cairo kwenda doha. abdelmoniem alikuwa na wasiwasi na alijiuliza kama ilikuwa ni njama za wenye siasa kali kutaka kunyamazisha sauti zinazotaka maelewano zaidi zilizo katika tovuti kama ile ya islamonline.
while tadamon masr mentioned that the dispute may be because the new qatari administration wants to move the hq from cairo to doha, abdelmoniem was skeptical and wondered if it was all about extremists who want to silence moderate voices on websites like islam online.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
@mohammedy : #menejimenti ya islamonline huko qatar imekuwa ikikataa kupokea simu kutoka kwa al-qaradawi kwa sababu inamtuhumu kwamba alitaka kujiunga upande wa wafanyakazi (kupitia fathi katika iol)
@mohammedy : #islamonline management in qatar have been evading al-qaradawi's calls bec he wanted to take sides with employees (through fathi at iol)
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: