Você procurou por: je, naweza kuandika kuhusu nini? (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

je, naweza kuandika kuhusu nini?

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

je, naweza kujitoa?

Inglês

can i opt-out?

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

je naweza kujupigia some wakati huu

Inglês

i can help you

Última atualização: 2023-09-18
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

nataka kuandika kuhusu tafakari, utulivu, uwezo wa kusoma na muda wangu huru ninaoweza kuutumia kwa malengo mazuri.

Inglês

i want to write about contemplation, calm, the ability to read, and the free time which i can spend usefully.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

pamoja na maoni kutoka kwenye ulimwengu wa blogu, chama cha simango (@mdmwiki), pia kilitumia huduma ya twita kuandika kuhusu shambulio hilo.

Inglês

in addition to the reactions from the blogosphere, simango's party (@mdmwiki), tweeted the attack.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

umma uliachwa katika hali ya sintofahamu kuhusu nini hasa kitakachotokea katika mchezo huu wa ushindani kati ya watu walioshika madaraka na wale wanaosubiri madaraka.

Inglês

the public was left wondering what will happen in this game of rivalry between the people in power and the people yet to be handed power.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hoja yangu ni kwamba baadhi ya watu hawana welewa kuhusu nini kinaendelea ndani ya maisha yetu na bado wanafikiri wana haki ya kuamua na kuwa wakuu.

Inglês

my point is, some people have no knowledge about what goes on in our life yet they deem it their right to judge and be almighty.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

wanablogu yassary masry , carl, msfour, maree, rob, sandmonkey pamoja na grey wool knickers walikuwa ni miongoni mwa wanablogu wa kwanza kuandika kuhusu tukio hilo, ama kuwafariji marafiki na familia au kujadili uhusiano wa milipuko ya mabomu na sheria ya kuzuia ugaidi.

Inglês

yassary masry , carl, msfour, maree, rob, sandmonkey and grey wool knickers were among the first to blog about the incident, whether to comfort their friends and families or to discuss if they think there is a connection between the bombings and the anti-terrorism law or not.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ilikuwa inaudhi na kuumiza, na sikuanza kuandika kuhusu korea kwa namna ya maana mpaka nilipojifunza kuisogeza jamii hiyo ya wageni (marafiki na wafanyakazi wenzangu) karibu nami ili kuniwezesha kujifunza jiji hili, kwa mtazamo wa kikorea.

Inglês

it was all very bitter and petty and self-defeating, and i didn’t begin to write about korea in a meaningful away until i learned to keep that expat crowd (friends and coworkers included) at arm’s-length and experience the city on quieter, more korean terms.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

nilihukumiwa miaka minne gerezani kwa kuandika kuhusu haki na ukiukwaji wa haki za raia ...ninaandika barua hii nikiwa kwenye chumba kidogo chenye eneo la mita 21 mraba nikiwa na wafungwa wengine 40 ambao wengi ni wahalifu, wabakaji, watumiaji wa mabawa ya kulevya...nchi hii ya kiislamu inakiuka haki za msingi za kiraia na kuwanyang'anya watu uhuru.

Inglês

i was sentenced to four years in prison for writing about injustice and violation of rights of citizens... i am writing this letter in a 21 square meter cell with 40 cellmates who are criminals, rapists, drug addicts... the islamic republic systematically represses fundamental civil rights and deprives people of freedom.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,742,721,808 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK