Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
ziara hii ya papa ina makeke mengi kwenye ulimwengu wa blogu!
this papal visit has quite some twists to it on the blogoshpere!
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
blogu hii ina vionjo vya mirindimo vya ziara hii kama video inayomwonyesha mwanamuziki wa kikameruni akimshabikia barack obama kwenye uchaguzi imewekwa pale.
this blog also gives a rythmic flavour to this visit as the video of a cameroonian musician hailing barack obama on his election is posted there.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ziara hii imepelekea serikali kuchukua hatua kali za usafi kama anavyoelezwa katika blogu ya griet,thorsten, jara and lisa:
this has led the government to take some radical clean-up measures as described by griet,thorsten, jara and lisa blog:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
utamaduni, historia, pwani, wanyama na mimea, unaweza ukavivinjari nchini kote, kutokea kwenye mitisitu ya kitropiki kule kusini mpaka mbuga za savana za kaskazini. kama ni mpenzi wa pwani au historia, utaburudika na ziara hii ya sehemu za pwani.
culture, history, beaches, flora and fauna, you can sample it all over the country, from the tropical jungles of the south to the savannah plains of the north. if you’re a beach or history lover, you’ll enjoy this tour along the coast.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.