A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kamilifu
home
Última atualização: 2016-03-07
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
naye alitoboa ukweli kwa sababu hiyo, unapaswa kuwakaripia vikali, ili wawe na imani kamilifu.
this witness is true. wherefore rebuke them sharply, that they may be sound in the faith;
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kila kipaji chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni; hutoka kwa baba, muumba wa mianga, ambaye habadiliki wala hana alama yoyote ya ugeugeu.
every good gift and every perfect gift is from above, and cometh down from the father of lights, with whom is no variableness, neither shadow of turning.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
lakini mkoa wa baimiao ni serikali ya kwanza ya ngazi hiyo kuweka ripoti kamilifu ya matumizi, kwa hiyo imejipatia jina la "serikali iliyo uchi kabisa".
but baimiao township is the first governmental unit to post a comprehensive yearly expenditure, thus earning the name "completely nude government".
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
lakini mtu anayeangalia kwa makini sheria kamilifu ambayo huwapa watu uhuru, mtu anayeendelea kuizingatia, na si kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.
but whoso looketh into the perfect law of liberty, and continueth therein, he being not a forgetful hearer, but a doer of the work, this man shall be blessed in his deed.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
lakini kristo amekwisha fika, akiwa kuhani mkuu wa mambo yaliyo mema, ambayo sasa yamekwisha fika. yeye anatoa huduma zake katika hema iliyo bora na kamilifu zaidi, isiyofanywa kwa mikono ya watu, yaani isiyo ya ulimwengu huu ulioumbwa.
but christ being come an high priest of good things to come, by a greater and more perfect tabernacle, not made with hands, that is to say, not of this building;
Última atualização: 2023-07-13
Frequência de uso: 5
Qualidade:
Referência:
hata hivyo utofauti wa maenezi wa 1% miongoni mwa jenomu mbili bado ni tofauti kubwa; hivyo, matokeo kamilifu kwa ajili ya ushahidi thabiti bado yanasubiriwa (picha. (picha 33).
however, 1% difference spread all over two genomes is still a big difference; thus, conclusive results for concrete evidence are awaited (fig. (fig.33).
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: