Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kitabu hicho cha kielektroni kimetolewa kwa utaratibu wa leseni ya creative commons attribution 3.0 na kinapatikana kwa kukipakua kutoka mtandaoni katika mitindo mitatu tofauti:
the e-book is released under a creative commons attribution 3.0 license and is available for downloading in three different formats:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
tutakuwa tukitoa matoleo ya vitabu vyetu hivi vya kielektroni kwa kufuata mada, kanda, masuala, lugha, vyombo vya habari n.k. na kwa mitindo mbalimbali, na kwa hiyo kutoa picha pana zaidi na kusambaza zaidi makala zilizo bora zilizoandikwa katika vipindi tofautitofauti kupitia jumuiya yetu.
we will put out electronic publications according to topics, regions, issues, languages, media, etc. and in a variety of formats, thus providing broader exposure to the best material produced over the years by our community.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: