A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mwaka 2011, serikali ya muda ya tunisia ilipitisha amri 41 zinazomhakikishia yeyote upatikanaji wa nyaraka za kiutawala.
in 2011, tunisia's interim authorities passed decree 41 guaranteeing access to administrative documents.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
majukumu ya kiutawala kuanzia kupika mpaka kufanya usafi yalitengenezwa kwa kupitia wiki na yaliwasilishwa kwa umma kwa njia ya wavuti.
organizational tasks from cooking to cleaning were structured via a wiki, and a website communicated with the public.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
serikali isiyoweza kuhakikisha watu wake wanapata hewa ya oxygen ya kutosha ndiyo hii inayojigamba kuonesha mfano wa kuigwa wa kiutawala ulimwenguni kote.
a regime which can not provide oxygen for its citizens claim to export its way of governing to the whole world.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
huko brussels, ambao ni mji mkuu wa kiutawala wa ulaya, silvia muñoz solano na alexander molina lópez , walipiga kura.
in brussels, the administrative capital of europe, silvia muñoz solano and alexander molina lópez voted.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hakuna mtawala anayetaja mfumo rasmi wa kiutawala atakaoufuata akiisha kuchaguliwa kushika madaraka ukimwacha labda bw. james nyondo mgombea binafsi wa urais.
none of the leaders is mentioning about an ideology to follow once elected into power save for pressidential independent candidate mr. james nyondo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
polisi wengi zaidi waliwasili na kutawanywa kwenye wilaya za admiralty na kati wakati waandamanaji walipojaribu kwenda zilipo ofisi za kiutawala kwa kutembea kupitia barabara za harcourt na connaught.
more and more people arrived and scattered around admiralty and central districts as they attempted to reach the government headquarters by walking pass the harcourt and connaught highway.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mashirika mengi ya habari jijini hong kong, jimbo maalumu ya kiutawala la china, yamekuwa na hofu ya kupoteza mapato ya matangazo ya ki-biashara kutoka bara china au kuogopa kuikasirisha serikali ya beijing.
many news organizations in hong kong, a special administrative region of china, were already fearful of losing advertising revenue from their business ties in the mainland or angering the beijing government.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
china imeuahidi mkoa maalum wa kiutawala wa hong kong, ambao una uhuru wa aina fulani kutoka serikali kuu, uwezo wa moja kw amoja kupiga kura kwenye uchaguzi wa 2017 kmchagua kiongozi mkuu wa jimbo hilo, lakini wanaharakati wa demokrasia wanashikilia msimamo wao kwamba kamati ya uteuzi inapunguza haki za watu kumchagua kiongozi wao.
china has promised special administrative region hong kong, which enjoys certain autonomy from the mainland, a direct vote in the 2017 chief executive election, but pro-democracy activists maintain the nominating committee undermines the people's right to choose their leader.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
maabara zinazotumika kwa tafiti za umma bado hazipati fedha za kutosha kutokana na mafungu ya bajeti yanayotengwa na vyuo vikuu, vyombo vya utafiti vya umma, na mashirika ya fedha, kama vile shirika la taifa la utafiti nchini ufaransa. hunufaika na fedha zinazotengwa na majimbo ya kiutawala nchini ufaransa, mashirika ya misaada ya hisani, viwanda na hata kutoka ulaya miradi 7,000 ilifadhiliwa, ikiziwezesha timu za watafiti wa umma na binafsi zipatazo 22,000 kati ya mwaka 2005-2009.
public research laboratories are partially funded by budget appropriation from universities, public research bodies, and financial agencies, such as the french national research agency (a.n.r.). they also benefit from allocations from french administrative regions, charitable groups, industry, and from europe.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: