Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
basi itakuwaje tutakapo wakusanya siku ambayo haina shaka kuja kwake?
how (will it be) when we gather them together on the day about which there is no doubt (i.e. the day of resurrection).
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake tito.
nevertheless god, that comforteth those that are cast down, comforted us by the coming of titus;
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
sasa yahusu kuja kwake bwana wetu yesu kristo na kukusanywa kwetu pamoja tukae naye. ndugu, tunawaombeni sana
now we beseech you, brethren, by the coming of our lord jesus christ, and by our gathering together unto him,
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
nanyi pia mnapaswa kuwa na subira; imarisheni mioyo yenu, maana siku ya kuja kwake bwana inakaribia.
be ye also patient; stablish your hearts: for the coming of the lord draweth nigh.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
naam, watoto, kaeni ndani yake kusudi wakati atakapotokea tuwe hodari bila kuwa na sababu ya kujificha kwa aibu siku ya kuja kwake.
and now, little children, abide in him; that, when he shall appear, we may have confidence, and not be ashamed before him at his coming.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi itakuwaje tutakapo wakusanya siku ambayo haina shaka kuja kwake? na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.
but how (will they fare) when we gather them together against a day about which there is no doubt, and each soul will be paid out just what it has earned, without (favour or) injustice?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wakati tulipowafundisheni juu ya ukuu wa kuja kwake bwana wetu yesu kristo, hatukutegemea hadithi tupu zisizo na msingi. sisi tuliuona utukufu wake kwa macho yetu wenyewe.
for we have not followed cunningly devised fables, when we made known unto you the power and coming of our lord jesus christ, but were eyewitnesses of his majesty.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hapo ndipo mwovu atakapotokea; lakini bwana yesu anapokuja atamuua kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kwa mng'ao wa kuja kwake.
and then shall that wicked be revealed, whom the lord shall consume with the spirit of his mouth, and shall destroy with the brightness of his coming:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mwenendo wenu kati ya watu wasiomjua mungu unapaswa kuwa mwema kabisa, ili hata watakapowasingizieni kwamba mnatenda mabaya, waweze kutambua matendo yenu mema na hivyo wamtukuze mungu siku ya kuja kwake.
having your conversation honest among the gentiles: that, whereas they speak against you as evildoers, they may by your good works, which they shall behold, glorify god in the day of visitation.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
je, yuko nabii yeyote ambaye baba zenu hawakumtesa? waliwaua hao mungu aliowatuma watangaze kuja kwake yule mwenye haki. na sasa, ninyi mmemsaliti, mkamuua.
which of the prophets have not your fathers persecuted? and they have slain them which shewed before of the coming of the just one; of whom ye have been now the betrayers and murderers:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
si tu kwa kule kuja kwake tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. jambo hili linanifurahisha sana.
and not by his coming only, but by the consolation wherewith he was comforted in you, when he told us your earnest desire, your mourning, your fervent mind toward me; so that i rejoiced the more.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mungu anayetupatia amani awafanye ninyi watakatifu kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu--roho, mioyo na miili yenu--mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake bwana wetu yesu kristo.
and the very god of peace sanctify you wholly; and i pray god your whole spirit and soul and body be preserved blameless unto the coming of our lord jesus christ.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.