Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
naomba ruhusa ya kujiendeleza kielimu katika masters social work
Última atualização: 2020-12-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
pia sipati muda wa kusoma vitabu kama vile kuhusu maisha ya watu binafsi, hadithi, au hata kuhusu mada za kujiendeleza kiakili.
i also don't have time to read books such as biographies, novels, or those on intellectual topics.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
naomba kuwasilisha hata hivyo kwamba, zambia haina tatizo la ukosefu wa marais wenye akili, bali mfumo unaoyawezesha majimbo na wilaya kujiendeleza bila kulazimika kuitegemea lusaka.
let me submit however that, zambia is not lacking intelligent presidents , but a system which allows provinces and districts to flourish without looking to lusaka.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"matokeo moja wapo ya kuwa mama katika kipindi cha utoto ni mwanamke kukosa fursa za kujiendeleza kitaaluma, na hivyo kujikuta akifanya kazi yoyote ile kujipatia kipato.
"one consequence of teen mothers is woman lose development opportunities from a professional viewpoint, take any job in order to make some income.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
alisema ajira za moja kwa moja kutoka kwenye visima vya kuchimba mafuta zinahitaji kiwango cha juu cha ujuzi, uwezo na sifa za kitaaluma, hivyo kuhitaji vijana kujiendeleza zaidi ili kuweza kufaidika kikamilifu na nafasi nyingi za kazi, ambazo zitatokana na machimbo hayo.
he said direct employment into the upstream oil industry required high level of professional competence and qualification, hence the need for the youth to improve themselves to be able to take full advantage of the numerous ancillary job opportunities, which would be generated by the emerging industry.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ilhali kampeni la kony 2012 hakika limepata usikivu lililotaka, waganda na waafrika wengi wanaona kwamba ujumbe wake umekosa muktadha na maelezo sahihi kuhusu joseph kony. zaidi ya hiyo, kampeni lenyewe lilijishughulisha na kuchanga pesa kwa shirikisho lililoanzisha kampeni lenyewe badala ya kuwawezesha watu walioathiriwa na vita hivyo kujiendeleza.
while the kony 2012 campaign certainly received the attention it sought, many ugandans and africans felt its message lacked the nuance required by context, and was more focused on raising funds for the organisation's own survival rather than empowering the people affected by the conflict.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: