Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
wanafamilia wakikimbilia uwanja wa ndege wa kimataifa kuala lumpur baada ya kujulishwa kuwa ndege mh17 imeanguka.
family members rushed to kuala lumpur international airport when informed about the flight mh17 crash.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kusanyiko la watu wako linaweza kujulishwa mazuri yote ambayo baadhi ya wakristo wa uganda wanawatakia wenye dhambi waitwao mashoga wa kiganda.
your congregation can be made aware of all the good things that some christians in uganda wish some sinners called gay ugandans.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"mamlaka za saudi arabia mara kwa mara zimekiuka viwango vya kimataifa vinavyoongoza mashitaka ya haki na kuhakikisha usalama wa watuhumiwa, ambao mara nyingi wananyimwa haki ya kuwakilishwa na wanasheria wala haki ya kujulishwa mwenendo wa mashitaka yanayowakabili.
"authorities in saudi arabia routinely flout international standards for fair trial and safeguards for defendants, who are often denied representation by lawyers and not informed of the progress of legal proceedings against them.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
baada ya kupitishwa, museveni aliendelea kuwa na msimamo usioeleweka: alidai imekuwaje muswada upitishwe bila yeye kujulishwa, na kwa haraka kiasi kile, tena na idadi ndogo ya wabunge wakiongozwa na spika kadaga.
after its passing, museveni continued to pursue an ambiguous position: he claimed how the bill was passed without his consultation, and in a rushed manner, by a small number of mps led by speaker kadaga.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: