Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
unanifanya nijisikie kupendwa
you make me feel loved
Última atualização: 2023-03-25
Frequência de uso: 3
Qualidade:
Referência:
watu wanaochanganya mambo haya bila hakika hawajawahi kuwa katika mapenzi, au kupendwa.
people who confuse this are definitely someone who never been in love, or be loved.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kusoma kwake kwa bidii na kupendwa kwake na walimu kulimuwezesha kusoma elimu ya upili.
his hard work and favor from the teachers saw him through high school.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
amekuwa ni kipenzi cha india, amekwezwa na kupendwa na wahindi wote na kutangazwa na vyombo vya habari vya india na ulimwengu wote.
she became a darling of india, pampered and loved by all indians and projected by indian and world media.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
naweza kusema unisamehe sana mimi muuh najua umechukia hivyo naomba unisamehe tena na shukuru sana kwa kunijali wewe ni mtu muhimu katika maisha yangu umenionyesha upendo ambao ni ngumu kuupata kwa mtu mwingine najua ningumu sana kupendwa nakila mtu
naweza kusema unisamehe sana mimi muuh najua umechukia hivyo naomba unisamehe tena na shukuru sana kwa kunijali wewe ni mtu muhimu katika maisha yangu umenionyesha upendo ambao ni ngumu kuupata kwa mtu mwingine najua ningumu sana kupendwa nakila mtu
Última atualização: 2023-07-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
lakini nyuma ya hali hii inayoonekana kijuu juu kuwa ni kupendwa na malipo makubwa kadhalika, muziki huu hauwezi kuwa mzuri wala wa kuvutia mashabiki wake mpaka kwanza wakaguzi wa kazi za sanaa nchini korea kusini hawajakamilisha kazi yao.
but behind the glamorous facades and big paychecks, it's not all fun and romance until south korea's censors have done their work.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
waombolezaji walipiga picha na kutuma ujumbe wa moja moja kupitia mtandao wa twita wakati watu wakiomboleza, ambapo kulikuwa na matukio ya wengine kuzimia na wengine wakidai kuruhusiwa kulibeba jeneza la mwigizaji huyo nguli aliyetokea kupendwa kuelekea makaburini.
some mourners took photos and tweeted live as people grieved, fainted and demanded to carry the coffin of the much-loved iconic actor to the cemetery.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
diário de classe , ukurasa wa facebook uliofunguliwa na isadora faber, aliye na miaka 13 na anayetokea santa catarina, brazil, tayari umeonyesha kupendwa zaidi ya mara 176,000.
diário de classe , a facebook page created by isadora faber, a 13 year-old from santa catarina, brazil, has already gathered more than 176,000 "likes".
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
'baba, tunaelekea wapi?’ kimekuwa kipindi kilichojizolea umaarufu sana, siyo tu kwa kuwa kimekuwa cha kuvutia na chenye kuleta mtazamo mpya, jambo la muhimu kabisa ni kuwa kinatupa taswira ya kiu na mategemeo ya kuenedelea kupendwa na kujaliwa zaidi na baba zetu.
'where are we going, dad?’ becomes a hit show not only because it’s based on a new and interesting idea, but more importantly because it echoes our society’s thirst and expectations of more care and love from dads.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: