Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
askari walitaka kuwaua wafungwa wote kwa kuogopa kwamba wangeogelea hadi pwani na kutoroka.
and the soldiers' counsel was to kill the prisoners, lest any of them should swim out, and escape.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ingawa baadhi ya wasichana 57 wameweza kutoroka, bado wengine wengi wako mikononi mwa watekaji nyara.
although some 57 of the girls have managed to escape, there are still many others at the hands of the kidnappers.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mwanaharakati magdy ahmed alitwiti kuhusu kutoroka kwa gavana wa tiris zemmour baada ya wafanyakazi kuandamana :
activist magdy ahmed tweeted about the escape of the governor of tiris zemmour after the workers protests :
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wanamaji walitaka kutoroka, na walikwisha kuteremsha ule mtumbwi majini, wakijisingizia kwamba wanakwenda kuteremsha nanga upande wa mbele wa meli.
and as the shipmen were about to flee out of the ship, when they had let down the boat into the sea, under colour as though they would have cast anchors out of the foreship,
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
badala ya kutoroka eneo hilo, watu wengi wanatawanyika na kurudi eneo hilo wakiwa na vifaa bora zaidi, kama vile makoti ya mvua, vifaa vya kujikinga na moshi wa mabomu na miwani ya kukinga macho:
instead of escaping from the scene, many people dispersed and returned with better equipment, such as raincoats, gas masks and goggles:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lina rais wake, serikali yake na kwa hakika hawataki kuwa na watawaliwa pale. @aessameldin: gamal mubarak atakuwa nyota katika (filamu ya) kujaribu kutoroka gerezani, na mkewe khadija atajiunga na timu ya wapiga picha wa (filamu ya) wake wasio na matumaini.
it's got it's own president, government, and they do not need people there. @aessameldin: gamal mubarak will star in prison break's new season, and his wife khadija will join desperate house wives crew.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: