Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, husema na watu kwa ajili ya kuwajenga, kuwafariji na kuwatia moyo.
but he that prophesieth speaketh unto men to edification, and exhortation, and comfort.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa--uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa--hata hivyo sijutii hata kidogo.
for though i should boast somewhat more of our authority, which the lord hath given us for edification, and not for your destruction, i should not be ashamed:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"na sasa basi, ninawaweka ninyi chini ya ulinzi wa mungu na ujumbe wa neema yake. yeye anao uwezo wa kuwajenga ninyi na kuwawezesha mzipate zile baraka alizowawekea watu wake.
and now, brethren, i commend you to god, and to the word of his grace, which is able to build you up, and to give you an inheritance among all them which are sanctified.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
labda mnafikiri kwamba mpaka sasa tumekuwa tukijitetea wenyewe mbele yenu! lakini, tunasema mambo haya mbele ya mungu, tukiwa tumeungana na kristo. mambo hayo, yote, wapenzi wangu, ni kwa ajili ya kuwajenga ninyi.
again, think ye that we excuse ourselves unto you? we speak before god in christ: but we do all things, dearly beloved, for your edifying.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade: