Você procurou por: kuwashirikisha (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

kuwashirikisha

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

kuwashirikisha wasingapori wote katika kutengeneza mustakabali wao

Inglês

* involve all singaporeans in shaping our future

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

waamuru watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu na walio tayari kuwashirikisha wengine mali zao.

Inglês

that they do good, that they be rich in good works, ready to distribute, willing to communicate;

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ni matumaini yangu kwamba hivi karibuni mama yangu ataweza kuwashirikisha hisia zake na kuzungumza moja kwa moja yeye mwenyewe badala ya kuzungumza kupitia kwangu.

Inglês

it is my hope that soon my mother will be able to share this feeling and to speak directly for herself instead of through me.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

wakati sudani inaelekea uchaguzi mwezi aprili, teknolojia ina uwezo wa kucheza nafasi kubwa katika kuwashirikisha raia na katika kufuatilia mchakato wa kisiasa.

Inglês

as sudan moves towards elections in april, technology has the potential to play a major role in both engaging citizens and in monitoring the political process.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

ni namna ipi nzuri zaidi ya kusherehekea tukio hili kwa kuwashirikisha picha pamoja na mitazamo ya watumiaji wa intaneti kuhusiana na tukio hili linalosherehekewa na mabilioni ya watu duniani kote.

Inglês

what better way than to celebrate this occasion than by sharing photographs and reactions of netizens to this event, celebrated by billions worldwide.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

haha iliitaka serikali kufanya maamuzi kwa kuwashirikisha wadau wakuu wa elimu na kisha kuja na mkakati mzuri wa matumizi ya fedha ili kuwa na uhakika wa ustawi vya vyuo vikuu mara baada ya mahitaji ya udahili kupitiwa upya ili kuboreshwa zaidi.

Inglês

haha demanded that the government make decisions with the involvement of all stakeholders and come up with a better financial plan to ensure the sustainability of universities after the quotas are set back to a higher level.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

jambo lililoifanya ahadi hii kuonekana kama ni ya kweli lilikuwa ni nia ya wagombea – pamoja na rais john atta mills – ya kuwashirikisha waghana katika mchakato huo wa kuitathmini katiba.

Inglês

what made this pledge more appealing was the contenders’ - president john atta mills included - intention to involve ghanaians in the review process.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

baadhi ya “wabunge” katika kuijadili “hotuba” hiyo, waliipongeza hatua ya kuwashirikisha wanasiasa katika bunge hilo la kufikirika.

Inglês

a number of “members of parliament” in debating the “speech”, hailed the move to engage politicians in the virtual parliament.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

tungali tukisisitiza madai yetu kwa hatua zaidi za kudhibiti wafanyakazi wa moi, kwa ajili ya mageuzi ya kimsingi ya vikosi maalum, na kwa ajili ya kuifanya taaluma ya polisi kuingiwa na ubinadamu, kwa kuwashirikisha polisi kazi zenye manufaa kwa jamii.

Inglês

we maintain our demands for external control over the members of the moi, for fundamental reform of the special forces, and for humanization of the profession of policeman, through engaging policemen in work beneficial to society.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

katika mchakato, tunataraji kujifunza zaidi kuhusu ni lini, wapi na kwa kiasi gani wanablogu wanatendewa vibaya katika nchi mbalimbali, ili tuweze kuwashirikisha taarifa hizi waandishi wa habari, watafiti, na wanaharakati, na kujaribu kupigania uwepo wa intaneti ambamo kila mmoja anaweza kutumia uhuru wake wa kujieleza, na mahali ambapo wanablogu walio magerezani hawasahauliwi.

Inglês

in the process, we are hoping to learn more about when, where, and to what extent bloggers are being subjected to abuse in different countries, so we can share that information widely with journalists, researchers, and activists, and work towards creating an internet where everyone can exercise their right to speak freely, and where bloggers in prison are not forgotten.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,794,494,213 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK