Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
umilikishaji wa maeneo ya umma
the public areas
Última atualização: 2023-01-12
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
vurugu katika maeneo ya vitongoji.
rioting in township areas.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ramani inayoonyesha maeneo ya kupokelea damu nchini kenya.
a screenshot of a crowdmap showing blood donation sites in kenya.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
naishi wilaya ya kinondoni mkoani dar es salaam in english
i live in dar es salaam in english
Última atualização: 2024-04-29
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwenye baadhi ya maeneo ya afrika, hakuna mtandao wa mawasiliano.
in some areas of africa, there is no telecommunications coverage.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kuna miti michache ya mi-dita iliyobaki kwenye maeneo ya manila mjini.
there are only few dita trees left in urban metro manila.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mito katika niamey na maeneo ya karibu imefurika na kuharibu maelfu ya nyumba.
rivers in niamey and the extended regions have risen and destroyed thousands of houses.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
je, unawafahamu wanawake wengine wanaofanya kazi katika maeneo ya teknolojia na uwazi?
do you know other women working in the fields of technology and transparency?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
raia wengi walifariki kwenye mashambulizi ya mabomu katika maeneo ya ukingoni mwa mji wa gaza.
many civilians died in the bombing of areas at the edges of gaza city.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
maeneo ya hong kong na macau yaliweka hatua kadhaa, hasa kuhusiana na shule na vyuo vikuu.
the regions of hong kong and macau instituted several measures, particularly in regard to schools and universities.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
jeshi lilisisitiza kuwa, vita vya kimakabila ndivyo vilivyokuwa chanzo cha machafuko katika maeneo ya lumad.
it insisted that tribal war was the cause of violence in the lumad areas.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hata tumefanya matembezi katika maeneo ya jirani mara kadhaa na linaonekana kuwa jambo la kawaida na wala halisumbui.
we've even gone on several walks around the neighborhood and it feels totally normal and at ease.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
baadhi ya tembo wanakufa kutokana na kufanyishwa kazi nyingi katika maeneo ya shughuli za ukataji na usafirishaji wa magogo.
some are dying because of overwork in logging areas.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
alisema yeye alibishana na mtumishi mmoja wa cpvpv kama kuketi katika maeneo ya umma wakati wa saa za swala ilikuwa kosa.
he said he argued with the cpvpv member whether sitting at public places at prayer times was illegal.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ghina amekuwa mhanga wa mabomu ambayo yamekuwa yakitupwa na serikali kwenye maeneo ya raia licha ya kulaaniwa na mataifa mbalimbali.
ghina was a victim of the crude barrel bombs that the government has dropped on civilian areas despite international condemnation.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hadi sasa ugojwa huu umeonekana zaidi katika baadhi ya maeneo ya nchi za sudani ya kusini,tanzania na upande wa kaskazini mwa uganda.
it is currently restricted to small regions in south sudan, tanzania and northern uganda.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hizi hapa ni baadhi ya ramani ambazo wapokeaji misaada ya kibanadamu wanazitumia kuwasilisha hali inayobadilika kila wakati katika maeneo ya tetemeko la ardhi nchini haiti.
here are some maps that humanitarian aid responders are using to communicate the evolving situation in haiti’s earthquake zone.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"ili kuonesha kwamba ni kawaida sana kutembelea maeneo ya hapa na kuishi hapa na kufanya kazi hapa na kuwa mwanamke binti nchini hapa."
"just to show that it's very much normal to be out here and to live here and to work here and to be a young women in this country."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
bahati mbaya, kile tunaona tunafanikiwa ni kukuza pengo kati ya matajiri na masikini na kutengwa kwa maeneo ya vijijini kwa maana ya maendeleo ya miundombinu na shughuli za uchumi.
unfortunately, what we see being achieved is the ever widening gap between the rich and the poor and marginalization of rural areas in terms of infrastructure development and economic activities.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
huduma zilizo katika makazi haya ni mahususi kuhudumia wanawake wanaotokea katika maeneo ya vijijini wakati wa juma lao la mwisho la ujauzito, ili waweze kujifungua kwa msaada wa wakunga wenye ujuzi.
these residential facilities host women from rural areas during their final weeks of pregnancy, so they can give birth in the presence of skilled attendants.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: