Você procurou por: magmjwa ya mlipuko (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

magmjwa ya mlipuko

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

magonjwa ya mlipuko

Inglês

epidemiological

Última atualização: 2016-01-13
Frequência de uso: 3
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

vita dhidi ya mlipuko wa ebola inaendela kugeuka kuwa dharura ya kimataifa.

Inglês

the fight against the ebola epidemic is increasingly turning into an international emergency.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

@cobbo3: ni hatari kwa watu kukusanyika kwenye mtaa wa moi na kimathi baada ya mlipuko huo.

Inglês

@cobbo3: dangerous for pple to gather on moi & kimathi st after #moiavenueblast.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

kukandamizwa kwa kinga ya mwili ni muhimu katika matibabu ya mlipuko wa saitokini, hasa kwa wagonjwa walio katika hali mbaya.

Inglês

immunosuppression is essential in the treatment of cytokine storms, especially in severe patients.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mapema asubuhi ya leo, wakazi wa jiji wametoka kusikia sauti ya mlipuko wa mabomu ambayo yalitegwa kwenye gari la mgambo wanaolinda mpakani huko bacha khan chowk.

Inglês

already in the morning the residents of city got to hear a blast pow, where explosives were planted in a frontier corp vehicle at bacha khan chowk.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

zaidi ya kutumia maelezo haya kuarifu watu wanaowezekana, serikali pia imefanya maelezo ya eneo kupatikana kwa umma, kitu kinachoruhusiwa kwa sababu ya mabadiliko ya sheria ya faragha ya maelezo baada ya mlipuko wa mers katika nchi hiyo.

Inglês

in addition to using this information to alert potential contacts, the government has also made the location information publicly available, something permitted because of far-reaching changes to information privacy laws after the mers outbreak in that country.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la bangkok, shirika la kuhudumia watoto la umoja wa mataifa lilitoa wito kwa serikali na viongozi wa maandamano kuwalinda watoto na kuwaweka mbali na maandamano.

Inglês

after a grenade explosion killed three children in an anti-government protest site in bangkok, the united nations children’s fund urged government and protest leaders to protect children by keeping them away from protests.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

fda nchini marekani iliidhinisha jaribio la kwanza la utunzaji tarehe 21 machi 2020 kwa ajili ya matumizi mwishoni mwa mwezi huo. miongozo ya utambuzi iliyotolewa na hospitali ya zhongnan ya chuo kikuu cha wuham ilipendendekeza mbinu za kugundua maambukizo kulingana na sifa za kliniki na hatari ya magonjwa ya mlipuko.

Inglês

the fda in the united states approved the first point-of-care test on 21 march 2020 for use at the end of that month.diagnostic guidelines released by zhongnan hospital of wuhan university suggested methods for detecting infections based upon clinical features and epidemiological risk.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

huko ufaransa tarehe 19 machi 2020, mseto wa uvumbuzi wa matayarisho ya magonjwa ya mlipuko (cepi) ulitangaza uwekezaji wa dola milioni 4.9 katika ubia wa utafiti wa chanjo ya covid-19 unaohusisha taasisi ya pasteur, themis biosciece (vienna, austria), na chuo kikuu cha pittsburgh, na kuleta uwekezaji wa jumla wa cepi wa maendeleo ya chanjo ya covid-19 kuwa dola milioni 29.

Inglês

in france on 19 march 2020, the coalition for epidemic preparedness innovations (cepi) announced a us$4.9 million investment in a covid-19 vaccine research consortium involving the institut pasteur, themis bioscience (vienna, austria), and the university of pittsburgh, bringing cepi's total investment in covid-19 vaccine development to us$29 million.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,747,094,502 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK