A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
roho mtakatifu alikuwa amemhakikishia kwamba hatakufa kabla ya kumwona masiha wa bwana.
and it was revealed unto him by the holy ghost, that he should not see death, before he had seen the lord's christ.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
huyo mama akamwambia, "najua kwamba masiha, aitwaye kristo, anakuja. atakapokuja atatujulisha kila kitu."
the woman saith unto him, i know that messias cometh, which is called christ: when he is come, he will tell us all things.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
mwongo ni nani? ni yule anayekana kwamba yesu ni masiha. mtu wa namna hiyo ni adui wa kristo--anamkana baba na mwana.
who is a liar but he that denieth that jesus is the christ? he is antichrist, that denieth the father and the son.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
andrea alimkuta kwanza simoni, ndugu yake, akamwambia, "tumemwona masiha" (maana yake kristo).
he first findeth his own brother simon, and saith unto him, we have found the messias, which is, being interpreted, the christ.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível