Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
matako makubwa ya africa
major bases of africa
Última atualização: 2016-12-01
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
tungependa kuonyesha maduka makubwa ya kisasa na majengo ya vioo.
we’d like to point to our new malls and glass-fronted buildings.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
maeneo yenye rangi ya manjano ni mashamba makubwa ya mawese.
yellow areas are palm oil plantations.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kitabu hicho kiliondolewa kwenye maduka makubwa ya vitabu nchini singapore.
his book was also taken off major bookstores in singapore.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
wote wamewahi kuwa mameya wa majiji makubwa ya kolombia, bogotá na medellín.
both men were mayors of colombian's two largest cities, bogotá and medellín, respectively.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
picha ya makundi makubwa ya watu katika matembezi iliyowekwa na@nourah_ibrahim
picture of the crowds marching posted by @nourah_ibrahim
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwa kulinganisha, bado kuna uchanga wa kublogu, kwa kuangalia mahitaji makubwa ya muda na maudhui.
by comparison, blogging is still in an infant stage, given its exceedingly higher demands on time and content.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
moja ya mafanikio makubwa ya nchi ya rwanda ni kukua kwa usawa wa kijinsia katika maeneo mengi.
one of rwanda's most remarkable achievements is the progress of gender equality in numerous areas.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
maandamano makubwa ya kumtaka rais wa misri mohamed morsi ajiuzulu yanaendelea nchini misri kwa siku ya tatu sasa.
massive protests calling on egyptian president mohamed morsi to step down continue across egypt for the third day.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
makundi makubwa ya watu yalimzunguka hata yesu akapanda mashua, akaketi. hao watu walisimama kwenye ukingo wa ziwa,
and great multitudes were gathered together unto him, so that he went into a ship, and sat; and the whole multitude stood on the shore.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
je, hivi, mchezo wa soka una manufaa makubwa ya kusababisha mtu ujiweke kwenye hatari ya msiba kama huo?
is football worth all the tragedy that seems to follow it?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na kuongezeka kwa matumizi makubwa ya mtandao, kuna hadhira kubwa ya wasomaji inayofikika.
in recent years, following the popularity of the web, there is a much larger audience available.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
bila ya shaka, kama vile mobileactive inavyosisitiza, matatizo kadhaa ya miundombinu yanaendelea kuwa kizuizi kwa matumizi makubwa ya mfumo huo:
of course, as mobileactive also stresses, some problems with local infrastructure remain an obstacle to the widespread adoption of such systems:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kituo pia kinafanya kazi na mashirika makubwa ya kimataifa ya habari kwa ushirikiano, kuzalisha na kujazia habari na taarifa kuhusu somalia na eneo lote la pembe ya afrika.
the centre also works with high profile international media organizations in commissioning, producing and filing stories and reports about somalia and the horn of africa region.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
uchomaji wa misitu ni unasemekana kusababishwa na shughuli za kilimo cha mashamba makubwa ya mafuta ya mawese, makubaliano ya uuzaji wa kuni, na mashamba ya mashapo.
the burning of forests is blamed on the operations of oil palm plantations, wood suppliers’ concessions, and pulpwood plantations.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mnamo tarehe 6 aprili, nchi ya milima milima ya kirigistani huko asia ya kati ilikumbwa na maandamano makubwa ya kupinga utawala ambayo yaliishia kuing'oa serikali.
on april 6th, kyrgyzstan a mountainous country in central asia, was hit by mass protests which eventually led to the overthrow of the government.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hii ni pamoja na kuanzisha kwa muda baadhi ya vidhibiti vya mpaka, vikwazo vya kusafiiri ndnai ya nchi, kufunga au kuzuia huduma za mikahawa na biashara zingine, kupiga marufuku matukio makubwa ya umma, na katika visa vikali zaidi kuwazuia watu kutoka nyumbani isipokuwa kwa sababu muhimu.
these include the temporary reintroduction of some border controls, restrictions on travel within the country, closing or limiting service at restaurants and other establishments, banning large public events, and in the most severe cases prohibiting people from leaving the house except for essential reasons.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
jioni ya siku za jumapili na jumamosi, maduka makubwa ya australia ya woolworths na coles yalipunguza vikomo vyao vya ununuzi wa karatasi shashi hadi vifurishi viwili na kimoja mtawalia kwa kila muamala katika maduka yote katika ngazi ya kitaifa.
on sunday and saturday evening, australian store chains woolworths and coles lowered their purchase restrictions on toilet paper to two and one package per transaction in all stores on national level, respectively.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kwa wakati huo, chenge alikuwa akichunguzwa na taasisi ya kuchunguza makosa makubwa ya jinai nchini uingereza (sfo) kufuatia kutuhumiwa kwa kosa la rushwa iliyohusisha kampuni ya kiingereza ya bae.
at the time, chenge was under investigation by the british government's serious fraud office for corruption involving the british arms manufacturer bae.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mashirika ya lumad yanaelezea kuwa yanalengwa chini ya mwavuli wa organizations explain that they are being targeted at the behest of uchimbaji madini mkubwa, mashamba makubwa ya kilimo, pamoja na makampuni mengine yaliyo na uchu wa wa ardhi yenye rutuba ya jamii ya watu wa lumad.
lumad organizations explain that they are being targeted at the behest of large-scale mining, plantations, and other companies salivating over the resource-rich lumad lands.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: