Você procurou por: mfanyabiashara (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

mfanyabiashara

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

mimi ni mfanyabiashara na pia mpenzi wa crypto, vipi kuhusu wewe?

Inglês

i’m an entrepreneur and also a crypto enthusiast what about you?

Última atualização: 2021-11-07
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

katika nafasi ya 6 yenye pointi 202 ni mfanyabiashara ahmed ezz.

Inglês

in 6th place for 202 points businessman ahmed ezz.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

katika nafasi ya 9 yenye pointi 181 ni mfanyabiashara naguib sawiris.

Inglês

in 9th place for 181 points businessman naguib sawiris.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

"tena, ufalme wa mbinguni umefanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri.

Inglês

again, the kingdom of heaven is like unto a merchant man, seeking goodly pearls:

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

kadhalika arrow alijiimarisha kama mfanyabiashara huko montserrat, alimiliki duka la arrow’s manshop pale plymouth.

Inglês

arrow also established himself as a businessman in montserrat, owning the arrow`s manshop store in plymouth.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

goche lamine, mfanyabiashara wa madawa, alikamatwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari aitwaye sanda, mwenye umri wa miaka 17.

Inglês

goche lamine, a medical merchant, was caught with a high school student named sanda, aged 17.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

@balrasheed: moja ya mambo ya ajabu zaidi kukutana nayo selo ilikuwa ni mfanyabiashara wa lebanon ambaye alihukumiwa kifungo cha siku tano.

Inglês

@balrasheed: one of the more bizarre stories we came across during our detention was of a lebanese salesman who was sentenced to five days imprisonment.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kashfa ya ngono ya hivi majuzi inayowahusisha majaji wawili maarufu wa shanghai iliwekwa hadharani na mfanyabiashara ni peiguo anayeamini kuwa mmoja wa majaji hakutoa hukumu ya haki katika kesi ya kampuni anayohusika nayo.

Inglês

a recent sex scandal involving two top shanghai judges was exposed by a businessman ni peiguo who believes one of the judges was unfair in a ruling of a corporate suit that ni was involved in.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

kama kwa ren zhiqiang (@任志强), mfanyabiashara mkubwa wa mashamba aliye na wafuatiliaji kwenye weibo wasiopungua milioni 14, alitoa maoni yake ,

Inglês

as ren zhiqiang (@任志强), a real estate tycoon with more than 14 million followers on weibo, opined ,

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

miongoni mwa wale waliotusikiliza alikuwa mwanamke mmoja mcha mungu aitwaye ludia mwenyeji wa thuatira, ambaye alikuwa mfanyabiashara ya nguo za kitani za rangi ya zambarau. bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale maneno paulo aliyokuwa anasema.

Inglês

and a certain woman named lydia, a seller of purple, of the city of thyatira, which worshipped god, heard us: whose heart the lord opened, that she attended unto the things which were spoken of paul.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

wanaomuunga mkono mfanyabiashara huyu tajiri wa majengo nchini misri kwenye huduma ya facebook, waliijibu hukumu ile kwa kuanzisha kundi la “muachieni heshaam talaat moustafa.”

Inglês

the egyptian real-estate tycoon’s supporters on facebook, reacted to the verdict on “free hesham talaat moustafa’ group as well.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

mfanyabiashara jack ma alituma vifaa vya kupima virusi milioni 1.1, barakoa za uso milioni 6, na suti za kujikinga 60,000 kuelekea addis ababa, ethiopia kwa kusambazwa na muungano wa afrika.

Inglês

businessman jack ma sent 1.1 million testing kits, 6 million face masks, and 60,000 protective suits to addis ababa, ethiopia for distribution by the african union.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

wakati huo huo, kikundi hicho cha muslim brotherhood kilijaribu kupangilia karata zake, na kutangaza kwambakhairat al shater, naibu kiongozi wa juu wa zamani wa kikundi hicho na mfanyabiashara mkubwa, alikuwa chaguo lao kukidhi sheria ya misri ya kuachiana nafasi ya urais.

Inglês

simultaneously, the muslim brotherhood tried to step up their game, and announced that khairat al shater, former deputy supreme guide of the muslim brotherhood and businessman tycoon, is their choice in egypt's alternating presidency act.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Suaíli

gd jioni kila mtu , wewe ni jinsi gani? jina langu ni akoragye conaled , l kuja kutoka kisaasi na kusoma kozi ya mabomba katika taasisi ya mafunzo ya ufundi ya ntinda. nambari yangu ya usajili ni 10 , mimi ni mfanyabiashara .

Inglês

good evening everyone , how are you ? my name is akoragye conaled , l come from kisaasi and studying a course of plumbing at ntinda vocational training institute. my registration number is 10 , am a business man .

Última atualização: 2024-03-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
7,794,273,738 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK