Você procurou por: mithili (Suaíli - Inglês)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

English

Informações

Swahili

mithili

English

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Inglês

Informações

Suaíli

israeli imeanza uvamizi wa ardhini na kuugeuza ukanda wote wa gaza kuwa mithili ya mpira wa moto

Inglês

israel starts a land invasion and turns the whole gaza strip into a ball of fire... #gazaunderattack pic.twitter.com/pnyfbdtcra — gaza writes back (@thisisgaza) july 17, 2014

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

(hali hii) inakuwa mithili ya mwiba mwilini mwangu, nikikumbuka alichosema mt.

Inglês

this remains a thorn in my fresh, borrowing st paul’s experience.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hata hivyo, jeshi limekanusha kuwa liliratibu makundi mithili ya jeshi kwa ajili ya kuzidhalilisha jamii za watu wa lumad.

Inglês

for its part, the military has denied that it organized paramilitary groups to harass the lumad communities.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwa miaka ya hivi karibuni, bunge la tanzania limekuwa na mfululizo wa matukio ya kustaajabisha na vituko mithili ya maigizo.

Inglês

over the last few years, tanzania's parliament has become fodder for fantastic theatrics.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

na wala hakuna ushahidi kwamba alivaa suruari fupi mithili ya kaptula ndefu, lakini mitindo hiyo ndiyo maarufu zaidi kwa kundi hili.

Inglês

nor is there any to prove that his pyjamas ended several inches above his ankles, but that is also a popular sartorial choice amongst this lot.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

lakini, gavana wa jimbo alitupilia mbali madai haya na kulitupia jeshi lawama kwa kuasisi na kutoa silaha kwa makundi haya mithili ya jeshi.

Inglês

but the governor of the province disputed this and accused the military of creating and arming the paramilitary groups.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

misri inataka watalii warudi, wakati inawabana waandishi mithili ya wanyama; inahukumu mamia ya watu kifo kwa mashitaka bandia?

Inglês

egypt wants tourists to return, as it cages journalists like animals & sentences 100s others to death in sham trials? pic.twitter.com/sutynecsee — inigo gilmore (@inigogilmore) march 24, 2014

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

makundi anuai ya lumad ambayo yanapinga kuingiliwa na makampuni ya uchimbaji madini yamejitokeza kwenye vyombo vya habari kati ya miezi ya septemba na oktoba 2015 mara baada ya kushambuliwa na makundi ya watu mithili ya wanajeshi.

Inglês

various lumad groups which are resisting the entry of mining firms into their communities has been in the news during september and october 2015 after they were attacked by paramilitary groups.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

badala yake, picha hizo zilikuwa mithili ya mafuta yaliyoongezwa kwenye moto unaowaka, kiasi kwamba baadhi hata wanathubutu kuhoji uhalisi wa mkutano huo kwa sababu hapakuwa na kipande cha rekodi ya sauti na video kuthibitisha madai hayo.

Inglês

instead, the images have further fanned the criticism, and some are doubting the authenticity of the meeting because there is no audio or video footage to back it up.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya kazi mithili hiyo tunapaswa kuwasaidia walio dhaifu, tukikumbuka maneno ya bwana yesu mwenyewe: heri zaidi kutoa kuliko kupokea."

Inglês

i have shewed you all things, how that so labouring ye ought to support the weak, and to remember the words of the lord jesus, how he said, it is more blessed to give than to receive.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

kwenye #lunesdeblogsgv (#jumatatuyabloguglobalvoices), tunajitahidi kuzitunza blogu mithili ya "viumbe wanaoelekea kutoweka", kwa kushughulikia changamto zinazokabili uwepo wa blogu kwenye ulimwengu wa kidijitali.

Inglês

on #lunesdeblogsgv (#mondayofblogsonglobalvoices), we work to preserve blogs as an "endangered species", confronting the challenges that threaten their existence in today's digital jungle.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,794,454,278 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK