Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
siku ya majibu
i wish you a good fast
Última atualização: 2021-02-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
jumatano ya majivu
ashes
Última atualização: 2022-03-01
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
katika posti ya majibu katika blogu hiyo, carlos eire alipendekeza kuwa:
in a follow-up post at the same blog, carlos eire suggested that:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
maswali yasiyo na majibu kuhusu vitendo vya ukandamizaji vya (rais) biya yalibaki bila ya majibu.
the unanswered questions of the biya's repressive acts were still unanswered.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
tutaunda jukwaa la kimtazamo ili kuwasilisha data kitaifa na dashibodi ya majibu kwa vitendo kuusu ubora wao wa data na ukusanyaji wa sampuli za virolojia na serolojia.
we will develop an observatory to present data nationally and a dashboard for feedback to practices about their data quality and collection of virology and serology samples.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
hata hivyo, mnamo jumatano ya tarehe 13 aprili, 2011, raia wa misri waliamka na mapema asubuhi ya siku hiyohiyo kukutana na habari zinazohusu mubaraka kutupwa kizuizini.
however, on wednesday april 13, 2011, egyptians woke up to the news of mubarak's detention first thing in the morning.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kulingana na taarifa yake kwa vyombo vya habari, nba ilisitisha michezo kufuatia kuhitimishwa kwa ratiba ya [jumatano] ya michezo hadi tarehe mpya itakapotangazwa tena.
according to its press release, the nba was "suspending game play following the conclusion of [wednesday's] schedule of games until further notice."
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
kbs inalenga zaidi juu ya majibu ya rais kuliko waathirika na taarifa juu ya ujumbe wa kuwaokoa (kupitia mwanabloglu kwenye mtandao kupitia alama ashiria "mimi ni peter")
kbs focuses more on the president's reaction than the survivors and updates on the rescue mission (by blogger with the online handle of "i am peter")
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
mehdi hassan khan ambaye alijulikana kama ‘mfalme ghazal’ alifariki jumatano ya tarehe 13, juni, 2012 baada ya kuugua kwa muda mrefu katika hospitali ya jiji la karachi nchini pakistan.
mehdi hassan khan also famously known as the ‘king of ghazal’ passed away on wednesday, 13, june, 2012 after a protracted illness, in a local hospital in karachi city of pakistan.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kufuatilia watu waliogusana na karantini ya lazima, kama sehemu ya majibu ya afya ya umma kwa mkurupuko wa covid-19, kunaweza kuwatia watu wasiwasi zaidi na maasumu kuhusu athari za maambukizo, karantini na unyanyapaa kuhusu familia na marafiki.
mandatory contact tracing and quarantine, as a part of the public health responses to the covid-19 outbreak, can make people more anxious and guilty about the effects of the contagion, quarantine, and stigma on their families and friends.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
asilimia 75 ya vitambulishi vya mpiga kura vilivyogunduliwa katika vituo vya kupigia kura kwenye mji wa chegutu tangu jumatano ya wiki iliyopita ni vya watu waliokwisha kufa siku nyingi. #zimelections — zimelections2013 (@zimelections13) august 6, 2013
75% of the 59 id discovered at polling stations in chegutu town since last week wednesday belong to dead people. #zimelections — zimelections2013 (@zimelections13) august 6, 2013
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: