A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mtama mwekundu
red millet
Última atualização: 2016-12-13
Frequência de uso: 2
Qualidade:
Referência:
shetani mwekundu
red devil
Última atualização: 2021-11-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mwili wa mhindi mwekundu.
the indigenous body.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
kinyume cha neno mama ameombwa aanike mtama
the opposite of the word mother has been asked to give me a millet
Última atualização: 2024-05-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
maeneo hayo ni yale ambayo uratibu wake lazima ufanywe na majeshi ya uvamizi kupitia shirika la msalaba mwekundu.
these are in areas where co-ordination must be made with the invading forces via the red cross to enter.
jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kutokea ile siku kuu na tukufu ya bwana.
the sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before that great and notable day of the lord come:
mmoja wapo wa jamaa mahodari sana nchini kenya katika kila wakati wa dharura ni philip ogola wa shirika la msalaba mwekundu kenya.
one of the most amazing guys in kenya in any emergency is philip ogola of the kenya red cross.
tarehe 19 februari, shirika la msalaba mwekundu la singapore lilitangaza kwamba litatuma dola milioni 2.26 za msaada nchini china.
on 19 february, the singapore red cross announced that it would send $2.26 million worth of aid to china.
katika habari zinazohusiana na hizi, jumuia ya msalaba mwekundu ya myanmar ilitoa tamko kupitia kwa waandishi wa habari ikikanusha uvumi kuwa inafadhili ofisi ya oic iliyoanzishwa kinyemela katika jingo lao.
in related news, the myanmar red cross society issued a press release denying rumors that it is sponsoring a hidden oic office inside its building.
nami nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mwingine hapo, mwekundu. mpanda farasi wake alikabidhiwa jukumu la kuondoa amani duniani, watu wauane, akapewa upanga mkubwa.
and there went out another horse that was red: and power was given to him that sat thereon to take peace from the earth, and that they should kill one another: and there was given unto him a great sword.
hata mwezi umekuwa mwekundu hapa gaza usiku wa leo mpiga picha jehad saftawi anatuma picha kutoka kwenye mpaka wa gaza, ikionyesha kuanza kwa operesheni hiyo: shambulio la ardhini linalofanywa na israeli limeanza kwenye ukanda wa gaza, hapa kwenye mpaka wa gaza
even the moon is red in gaza tonight... #gazaunderattack pic.twitter.com/etgqgkyytx — فلسطين i (@ifalasteen) july 17, 2014
kisha nikatazama, na wakati mwanakondoo alipouvunja mhuri wa sita, kukawa na tetemeko kubwa la ardhi; jua likawa jeusi kama gunia; mwezi wote ukawa mwekundu kama damu;
and i beheld when he had opened the sixth seal, and, lo, there was a great earthquake; and the sun became black as sackcloth of hair, and the moon became as blood;
nafaka (kwa mfano, mahindi, mchele, ngano, mtama, ulezi) mboga (kwa mfano, nyanya, viazi, kabichi, karoti, vitunguu) mkunde (kwa mfano, maharagwe, maharagwe, lentili, mbaazi) matunda (kwa mfano, ndizi, maembe, machungwa, mananasi, parachichi) mitishamba na viungo (kwa mfano, mrihani / mrehani, dhania, rosemary, nanaa) nyingine (tafadhali taja):
grains (e.g., maize, rice, wheat, sorghum, millet) vegetables (e.g., tomatoes, potatoes, cabbage, carrots, onions) legumes (e.g., beans, peas, lentils, chickpeas) fruits (e.g., bananas, mangoes, oranges, pineapples, avocadoes) herbs and spices (e.g., basil, cilantro, rosemary, mint) other (please specify):