Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
na katika ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima.
among his signs are the ships [that run] on the sea [appearing] like landmarks.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kiukweli wanafunzwa kwenda na kupigana kwenye vita ile ile waliyoikimbia na kuwafanya wawe wakimbizi.
in reality they are being recruited to go and fight in the very war they fled from and had turned them into refugees.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
chifire anasema hatishiki na anaisubiri polisi wamwite ili aweze kwenda na kuwaambia kile anachokijua.
chifire says that he is not intimidated and is just waiting for the police to call him so that he can go and tell them what he knows.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: ewe mwanangu!
and when (his son) was old enough to walk with him, (abraham) said: o my dear son, i have seen in a dream that i must sacrifice thee.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
au “uislamu ni kwenda na wakati,” unaweza kusikia wakijitetea wakati wakigida mvinyo mkali kama vodka.
or "islam is all about moderation," they may argue, just before passing out in a puddle of vodka and vomit.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
nchi nyingi zimefunga au kuzuia kabisa usafiri wa ndege, meli, na kuvuka mipaka, hasa kwenda na kutoka maeneo yaliyoathirika.
many countries have shut down or severely limited flights, ships, and border crossings, especially to and from affected areas.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: ewe mwanangu! hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja.
and when he attained the age of, running with him, he said: o my son! verily i have seen in a dream that i am slaughtering thee; so look, what considerest thou?
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basi jua ya kwamba hapana mungu ila mwenyezi mungu, na omba maghufira kwa dhambi zako na za waumini wanaume na waumini wanawake. na mwenyezi mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa kukaa.
know, therefore, that there is no god but allah, and ask forgiveness for thy fault, and for the men and women who believe: for allah knows how ye move about and how ye dwell in your homes.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mjini valencia, wanafunzi wameamua kuandamana kupinga kupungua kwa bajeti kwa kuwa kunaathiri shule zao. imefika mahali wanalazimika kwenda na mablanketi kwa sababu ya kukosekana kwa vipasha joto, katika msimu huu wa baridi kali barani ulaya.
in valencia, school children decided to protest budget cuts that affected their schools, forcing them to carry blankets with them due to lack of heating, in what has been a particularly cold winter in europe.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.