A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
wanafunzi wa shule ya kihindi nje kidogo ya mumbai wakipata chakula wakiwa wamekaa chini pasipo kuwa na viti wala bakuli.
students of a hindi school in the outskirts of mumbai eat on the ground with no seating or plates.
mwanablogu antarik anwesan anaelezea hali halisi ya kile kinachoendelea katika kituo cha magarimoshi cha goregaon kilichopo mumbai, india.
blogger antarik anwesan recalls an alarming experience at goregaon train station in mumbai, india.
akijulikana kama muongozaji mkuu wa mashambulizi ya mumbai ya mwaka 2008, mwanzilishi wa jud pia alitoa msaada wa dola milioni 10 za kimarekani .
known as the mastermind behind the 2008 mumbai attacks, the jud founder also carries a $10million us bounty on his head.
blogu hiyo pia inaonyesha picha nzuri inayojieleza ya mwanablogu wa picha m.s. gopal juu ya maudhui hayo kwenye mumbai yasimamishwa.
the blog also highlights photoblogger m.s. gopal's excellent photo essay on the subject at mumbai paused.
@usembislamabad (us embassy islamabad ): saaed anatafutwa kuhusishwa na mashambulizi ya mumbai yaliyopelekea watu 166 kuuawa.
@usembislamabad (us embassy islamabad ): saaed is wanted for suspected involvement in the mumbai attacks, which killed 166.
alisomea vyombo vya habari na mawasiliano ya umma katika chuo kikuu cha delhi na ana shahada ya uzamiri katika sanaa kuhusu sayansi ya jamii kutoka katika taasisi ya tata inayotoa sayansi ya jamii huko mumbai.
she studied mass media and mass communication at delhi university and has a master of arts in social work from the tata institute of social sciences in mumbai.
fazal abbas (@fazlabas), ambaye ni mtumiaji wa twita aishiye mumbai, alitoa historia kuhusiana na tukio hili:
fazal abbas (@fazlabas), a mumbai-based twitter user, brought some historical perspective to the ongoing discourse:
muigizaji filamu wa kitelugu chirajeevi alizindua chama kipya cha siasa jimboni andhra pradesh, wakati mcheza filamu wa bollywood sanjay dutt alishindwa kuteuliwa kwa sababu ya rekodi yake ya makosa ya jinai wakati wa milipuko ya mabomu ya mwaka 1993 mjini mumbai.
telugu actor chiranjeevi launched a new political party in andhra pradesh, while bollywood actor sanjay dutt failed to get nominated because of his criminal record in the 1993 mumbai blast.
ilipofikia mwaka 2009 ushiriki wa watoa burudani wa bollywood (au filamu za kihindi) wenye makao mjini mumbai pamoja na wale wa kitamil na kitelugu waliongezeka zaidi kwenye kampeni za uchaguzi.
fast forward to 2009 and the involvement of entertainers from bollywood (or the hindi film industry) based in mumbai and the tamil and telugu film industry have registered a significant spike in the election campaign.
wana-jihadi wameshambulia tena ndani ya bara hindi; hivi sasa huko pune, japokuwa ni zaidi ya mwaka mmoja baada ya mashambulizi mabaya ya kigaidi mjini mumbai ya mwezi novemba 2008.
the jehadis have struck again on the indian mainland; this time in pune, albeit more than a year after the horrendous terror attacks on mumbai in november 2008.
wakazi wengi wanaoishi kwenye vitongoji visivyo na mpangilio mjini mumbai ambko filamu hii ilichukuliwa, wameipinga kwa sababu wamepachikwa jina la mbwa koko wa mitaani au 'slumdog' katika filamu hiyo:
many slum-dwellers in mumbai, where the movie was shot, have protested because they were called slumdog in that movie.
kujihusisha kwa nyanja ya burudani (hasa bollywood au nyanja ya filamu za kihindi yenye makao mjini mumbai) katika siasa nchini india kulikuwa ni kwa kiwango kidogo (siku za nyuma) wakati waigizaji wachache na watengenezaji filamu walipokuwa wakijishirikisha kwenye kampeni za uchaguzi.
interestingly, the entertainment industry's (especially bollywood or the hindi film industry based in mumbai) involvement in indian politics was pretty marginal with a few a actors and some film makers participating in the election campaign process. but, there was an exception.